inahitaji kamda kidogo ila biashara ya matipa itafaa pale kama hayo matipa pia yana support biashara zako zingine zinazoingiliana na shughuli za tipa, mf kama we ni mkandarasi au unaviwanda vya tofali etc, ila kufanya biashara hiyo iwe inaingiza hela as core bussiness itakataa
Biashara kichaa investment kubwa sana return ndogo say manunuzi 186mil mapato 550k/day
%Marejesho ya mtaji ni =500k/186mil=0.27% yaani kwa siku una recover 0.27% ya hela uliyoweka, ni hatari, hata 1% haijafika
Kwanza kubali kuwa umefukuzwa na huna kazi, pili usiwe na matumaini ya kupata kazi hivi karibuni tatu fanya chochote cha kukuingizia kipato ili mradi iwe ni kitu halali, anza na udalali ndo kazi nyepesi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.