Recent content by Braltaree

  1. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Engine ya Toyota 4E fte bei gab
  2. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Umakini unatushushia heshima

    Huo ni ukosefu wa umakini kwa kiwango cha juu sana kwako mtoa mada!
  3. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe huu ni ubunifu au kutukera wasomaji?

    Atakaeelewa anifafanulie!
  4. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Nataman sana kwenda nje kusoma wadau vp kuhusu gharama za kusoma computer science kwa nchi kama australia,belgium,uk nina diploma wadau na pia nchi kama china na india sio mbaya!
  5. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua utararibu wa mgeni kupata visa ya Tanzania

    Shukran sana mkuu
  6. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua utararibu wa mgeni kupata visa ya Tanzania

    Inacost kiasi gan iyo mkuu?
  7. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua utararibu wa mgeni kupata visa ya Tanzania

    Yuko Pakistan mkuu
  8. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua utararibu wa mgeni kupata visa ya Tanzania

    Nina rafiki angu ambaye tumejuana nae mda mrefu sasa anataka kuja Tanzania tafadhali kwa yeyote anayefahamu utaratibu wa kupata visa ya Tanzania pamoja na gharama zake anifahamishe tafadhali
  9. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    NGOJA NIONE NITAPATA LIKES NGAPI HAPA MANAKE HII NI FURSA HADIMU SANA
  10. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Harmonize atakuwa msanii wa kwanza kujitenga WCB

    Hakuna hoja yyt ya msingi halo zaid ya kijicho tu,
  11. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifo vya usingizini

    hahahahahaha et kwa wanaoishi ubalozini!!!!
  12. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kichagga (kinyumbani) hata kama tunaishi ugenini

    I'm in......hizi habari za mtaa mzima unajua kama wewe ni mchaga cha ajabu ukikutana na mkabila aliye jifunza kichaga hujui chochote inakuwa aibu kwakweli ,,,,,ni tag mtoa mada pls
  13. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Ebitoke, Comedian anayekuja kwa kasi

    Nadhan Timamu media kwa ss hawana mpinzan ktk comed aisee
  14. Braltaree

    JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kumsaka Mange Kimambi. Latolewa agizo la siri kwa vituo akionekana akamatwe!

    Nadhan ni yy ukifatilia hoja nyingi za lara 1 na. Mange zinashabihiana possibly ni yeye huyo
Back
Top Bottom