Kutokana na maelezo yako hapo juu unahitaji nini hasa
1.Pesa ukodi ofisi? Msaada au ukopeshwe??
2. Unahitaji mtu mwenye ofisi akusaidie kwa mda ufanye shughuli zako?
Kama ni mkopo wa pesa unakitu gani cha kuaminiwa?
Kama ni ofisi kuna uhakika gani hautochukua pesa za watu ukaingia mitini...
Habari wakuu,
Nina miaka kadhaa katika jiji hili la Dar es salaam, na wengine wote wanaoishi katika jiji hili ni mashahidi,
Kila nyumba ina vifaa vingi vya kutunzia maji, iwe ndoo, jaba au tank na kuna wakati unakuta maji yote uliyotunza yameisha ndanj na maji hayatoki, hasa kipindi hiki...
Choma power safe injection siku tano
Tumia sabuni ya tetmosol ya India usitumie ya Nigeria
Tafuta lotion inaitwa Scaboma paka baada ya kuoga kutwa mara mbili, baada ya wiki leta mrejesho Boss
Fuata ushauri wa daktari kuhusu matumizi
Choma power siku tano
Tumia sabuni ya tetmosol ya India usitumie ya Nigeria
Tafuta lotion inaitwa Scaboma paka baada ya kuoga kutwa mara mbili, baada ya wiki leta mrejesho Boss
Fuata ushauri wa daktari kuhusu matumizi ya dawa
Tatizo ma bro wengi mkisikia dogo amesoma IT mnataka kamserereko mkipewa budget mnasema kubwa, kwa sababu tu dogo ni fresh hamlipi website kuna vitu vya kulipia, alafu kuna gharama za muhusika, pia IT ina course nyingi ndani uliemuuliza alikuwa amebase kwenye nini, wengine wameseoma IT ila...
Wakuu habari,
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata temporary passport leo hii ijumaa.
Nimepata safari ya ghfla ya kwenda nchi jirani
Natanguliza shukrani
Habari wadau
Kama wiki hizi tatu nilkuwa nafatilia biashara ambazo ni profitable business outside of our country, nimegundua biashara ya mkaa ni biashara ambayo inweza kuleta billions of money kwenye nchi yetu na nchi yetu namaeneo mengi yanayoweza kuzalisha mkaa lakini hairuhisu kusafirisha...
Wabunge wa Tanzania ni aina flani ya watu ambao hawana uchungu na taifa wao wana uchungu na chama chao na tumbo zao, haiwezekani wabunge wote wawe sawa kwenye hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.