Recent content by boy sunday

  1. B

    JamiiForums Tanzania BORA YUPI, kati ya Raisi Muongo au Fisadi?

    Asa we ulkuwa una maana gani!!!umeshasema fisadi na unajua nini hatima yake!!!bora muongo aliyetuletea elimu bure ndege na heshima baa
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

    Na afcon anapeleka bidhaa zake!!!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

    Kumbe diamond ni mfanyabiashara!!!biashara gani hiiyo!!!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta ada elekezi shule binafsi

    Yan we boya kwel asa kama unaona elimu ya bure mbovu mpeleke mwanao kwenye ml hata 15 asa unalia nini si unazo!!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nana ya Diamond: Video ya kwanza TZ kufikisha 20 milion YouTube views

    Na we weka video yako ukanunue alf ulipwe
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo yanatakiwa kupiganiwa na vijana wanaojitambua mwaka 2017

    Lazima tuanze chini utakuaje mbuyu kabla hujapitia mchicha
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

    Hajaziona huuyo mtumieni!!!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mange achoma moto kadi ya CCM live

    Hivi kuna njia ya kuondoa umaskini bila ya kufanya kazi!!!!nisaidieni!!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Swali kwa TRA: Kuingizwa kwa Magari 651; Dangote amelipia kodi kiasi gani?

    Kwan hata wanaouza magari mbona nao hamwafuatilii!!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa walimu wote

    Yan unazungumzia hayo nikazan we ni mwalimu!!!tafuta mada nyingine sisi walimu hatutajui haayo
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kwamba Rais Magufuli hawezi na hatoweza

    Nchi iliyojaa wanafiki wasaliti!!wanadai mabadiliko huku wakiwa waoga kuyapata hayo mabadiliko!!hakuna mabasiliko yasiyo na maumivu!!!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kenya kutupita, yaamua kutumia Nishati ya Nuclear

    Yan hata hatuelewi tumlaumu nani!!!!
  13. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwijage akiri serikali ilikuwa inaficha: Dangote wanataka gesi ya bure, hawatawapa

    Kwani hayo makaa ya mawe ni ya bure au!!
Back
Top Bottom