nYIE SI NDIO MLIKUWA vinara KUPINGA hili?????SASA HII NI PROVE MOJAWAPO YA KUWA SERIKALI HII NI SIKIVU..mmesikilizwa mnaanza kuhamisha GIA angani tena......Tatzo nyie VIJANA wa bavicha mmelelewa katika MALEZI YA KINAFIKI MNO NA NDIMI MBILI na hao BABA ZENU huko Chamani maana HAMNA MSIMAMO KABSA YA KILE MNACHOKIPIGANIA...MMESIKILIZWA MNAANZA KUJA kubeza TENA......
Yan we boya kwel asa kama unaona elimu ya bure mbovu mpeleke mwanao kwenye ml hata 15 asa unalia nini si unazo!!!Hahahahahah! Walimuona 'Rais Dhaifu' Fwala sasa hivi wanarudi kule kule.
Ada
Kama ni 5M kwa nini Ulie lie wakati kuna Ada za
Laki 3
Kwa Mwaka?
Nilipinga humu kwny forum tangu awali kuwa ni Upumbavu
Yan we boya kwel asa kama unaona elimu ya bure mbovu mpeleke mwanao kwenye ml hata 15 asa unalia nini si unazo!!!
Mkuu Feza primary wa kawaida tu. Mpaka wameamua kuweka matangazo barabarani.Watoto wangu hawatosoma shule za kata fullstop.
Hii ni mbinu ya kuweka tabaka lao tu ndio liendelee kuwa watawala, CEO's and likes halafu sisi makabwela tuzalishe tabaka la wapiga debe na waokota chupa tupu za maji, hii haikubaliki, sipeleki mtoto wangu hata mmoja shule za umma.
Mimi nimesoma shule za umma na shuleni tulikuwa na watoto wa viongozi ma watoto wa wakurugenzi, tulikuwa tunashindana akili tu darasani, na si leo bogus Profesa kama Ndalichake akuaminishe eti mtoto wa shule ya msingi kiburugwa eti anaweza kushindanishwa na mtoto wa FEZA primary school.
Watoto wangu hawatosoma shule za kata fullstop.

Wa kiburugwa sekondari na wa Feza wote wanakutana chuo mfano MUHAS baada ya hapo wanaajiriwa na serikali na wanalipwa sawa.Watoto wangu hawatosoma shule za kata fullstop.
Hii ni mbinu ya kuweka tabaka lao tu ndio liendelee kuwa watawala, CEO's and likes halafu sisi makabwela tuzalishe tabaka la wapiga debe na waokota chupa tupu za maji, hii haikubaliki, sipeleki mtoto wangu hata mmoja shule za umma.
Mimi nimesoma shule za umma na shuleni tulikuwa na watoto wa viongozi ma watoto wa wakurugenzi, tulikuwa tunashindana akili tu darasani, na si leo bogus Profesa kama Ndalichake akuaminishe eti mtoto wa shule ya msingi kiburugwa eti anaweza kushindanishwa na mtoto wa FEZA primary school.
Mwenye akili kubwa hujadiri mambo (issues kwa kingereza) na mwenye akili za wastani au nyepesi hujadiri matukio wakati mjinga hujadiri watu, haya maneno yalisemwa na Wahenga na nadhani yanaishi hata sasa.nYIE SI NDIO MLIKUWA vinara KUPINGA hili?????SASA HII NI PROVE MOJAWAPO YA KUWA SERIKALI HII NI SIKIVU..mmesikilizwa mnaanza kuhamisha GIA angani tena......Tatzo nyie VIJANA wa bavicha mmelelewa katika MALEZI YA KINAFIKI MNO NA NDIMI MBILI na hao BABA ZENU huko Chamani maana HAMNA MSIMAMO KABSA YA KILE MNACHOKIPIGANIA...MMESIKILIZWA MNAANZA KUJA kubeza TENA......
Kheli mwenye ndimi mbili kuliko asiekua na msimamo na visionnYIE SI NDIO MLIKUWA vinara KUPINGA hili?????SASA HII NI PROVE MOJAWAPO YA KUWA SERIKALI HII NI SIKIVU..mmesikilizwa mnaanza kuhamisha GIA angani tena......Tatzo nyie VIJANA wa bavicha mmelelewa katika MALEZI YA KINAFIKI MNO NA NDIMI MBILI na hao BABA ZENU huko Chamani maana HAMNA MSIMAMO KABSA YA KILE MNACHOKIPIGANIA...MMESIKILIZWA MNAANZA KUJA kubeza TENA......