Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,943
- 18,665
Wakuu naomba hebu tujadili hili swala dogo bila kumtaja mtu.
Yupi ni bora kati ya Raisi Muongo au Fisadi?
Raisi muongo namaanisha yeye ni kutawala kwa udanganyifu. Hawaletei wananchi wake maendeleo zaidi ya kuwazidishia shida huku akiwadanganya uchumi unaimalika. Huyu anatumia ile principal ya fimbo na caroti kumuendesha punda.
Raisi Fisadi ni yule anapiga madili lakini bado anawaletea wananchi wake maendeleo na kuimalisha uchumi. Huyu yeye ni kama panya. Yani anakula huku anapuliza.
Naomba niwwkilishe wakuu tujadili bila mihemko.