mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 903
- 1,475
Aisee muziki wa nana ndo wa kwanza tanzania kufikisha watazamaji milioni ishirini katika nchi ya tanzania. muimbaji ni diamond, nataka tumpongeze
Aisee muziki wa nana ndo wa kwanza tanzania kufikisha watazamaji milioni ishirini katika nchi ya tanzania. muimbaji ni diamond, nataka tumpongeze
OG ngapi mkuuikifuatiwa na My number one Remix 19m
Sio vibaya ikiwekwa Sanamu yake maeneo hayo....kiasi itavuta hisia za watu katika imani ya Lusifer....maana Sanamu litaelekeza ulipo Msikiti na Kanisa la Illuminati (freemason)...Naskia hata ule mnara wa askari wa posta ule ndio wana ufanyia marekebisho awekwe diamond kama waheshimiwa wabunge wa jamuhuri ya muungano walivo omba.
Ki ukweli domo amefanikiwa ki muziki