Ujumbe kwa walimu wote

Ujumbe kwa walimu wote

Hakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa umma.

Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu mkuu wa nchi aingilie kati kwa kuwakingia kifua kwa kisingizio hao ndiyo waliompa kura.

NYINYI WALIMU Si ndiyo mnaosimamia uchaguzi.

Si ndiyo mnalipa kodi kuliko machinga.

Si ndiyo mnaotegemewa kufuta ujinga.

Si ndiyo mlisema rais ni mwalimu au alikuwa machinga.

Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna posho.

Walimu ndiyo watumishi peke yenu mna waajiri zaidi ya mmoja.

Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna malipo ya muda wa ziada.

Walimu ndiyo mnaongoza kupigwa makofi kutolipwa stahiki zenu kwa wakati n.k.

Ila pamoja na yote hayo sijawasikia hata mkimuomba rais au waziri mkutane na kujadili.

Msije mkaniona mbaya ila ukweli CWT hamna mnachofanya mnanyonya wenzenu.

Nyie ndiyo mna sauti zao mmekaa kimya mnahangaika na benki sijui ndiyo itawaongezea mshahara au posho.
Sawa mwalimu tumekusikia, maana usingekuwa mwalimu usingeyajua haya.
 
Yan unazungumzia hayo nikazan we ni mwalimu!!!tafuta mada nyingine sisi walimu hatutajui haayo
 
Walimu wanafurahia sana utawala wa awamu hii.
Kisa na sababu za kuufurahia? Unamaanisha kuwa ukisimamishiwa stahiki zako na kunyimwa haki zako zilizowekwa kwenye mkataba wa kisheria wewe hufurahia? Hujui tu kilichomo kwenye mioyo yao na jinsi wanavyohangaika kuharakisha kulipiza kisasi kwa jamii isiyojali huduma yao kwao.
Laiti mngalijitambua na kuungana kuwatetea ili wasiwateketeze kwenye tanuru LA ujinga.
 
Walimu wengi wana elimu duni, vyeti feki na kuungaunga kwa hiyo they get what they deserve
Na ndio haohao walokufanya wewe uonekane jf sasa. Shame on you! Babako profesa na mamako ni Dr jiulize imejuwaje wasikufungie ndani wakakufundisha had I nawe ukawa prof. Dharau kijinga zisozoweza kujibu hoja za msingi.
 
Halafu ndo wanaongoza kwa kuidai serikali malimbikizo ya mishahara na wanadanganywa tu.Masikini walimu. Ila ipo siku wataamua hawa watu dunia itasimama na kuiangalia Tz.
 
Kisa na sababu za kuufurahia? Unamaanisha kuwa ukisimamishiwa stahiki zako na kunyimwa haki zako zilizowekwa kwenye mkataba wa kisheria wewe hufurahia? Hujui tu kilichomo kwenye mioyo yao na jinsi wanavyohangaika kuharakisha kulipiza kisasi kwa jamii isiyojali huduma yao kwao.
Laiti mngalijitambua na kuungana kuwatetea ili wasiwateketeze kwenye tanuru LA ujinga.
Mkuu inaonekana kama una hasira sana, pole sana.
 
Huu uzi ungekuwa unahusu udikteta, dangote, TRA, bomba dear....kesho tu kungekuwa na majibu hata kama indirect...lakini kwa kuwa unahusu walimu mfatiliaji mtandaoni wala hashtuki...
 
Pigeni kelele tu, Mimi najipoozea kwa vibinti ninavyovifundisha na uhandsome wangu huu wanakuja kwa speed. Likizo hii wamegawana namba si mchezo nasubiri warudi. Sikumbuki hata nyongeza ya mshahara wanavyonifariji.
 
Vitie na mimba kabisa uvikomoe shenzi zao
 
Hakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa umma.

Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu mkuu wa nchi aingilie kati kwa kuwakingia kifua kwa kisingizio hao ndiyo waliompa kura.

NYINYI WALIMU Si ndiyo mnaosimamia uchaguzi.

Si ndiyo mnalipa kodi kuliko machinga.

Si ndiyo mnaotegemewa kufuta ujinga.

Si ndiyo mlisema rais ni mwalimu au alikuwa machinga.

Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna posho.

Walimu ndiyo watumishi peke yenu mna waajiri zaidi ya mmoja.

Walimu ndiyo watumishi peke yenu hamna malipo ya muda wa ziada.

Walimu ndiyo mnaongoza kupigwa makofi kutolipwa stahiki zenu kwa wakati n.k.

Ila pamoja na yote hayo sijawasikia hata mkimuomba rais au waziri mkutane na kujadili.

Msije mkaniona mbaya ila ukweli CWT hamna mnachofanya mnanyonya wenzenu.

Nyie ndiyo mna sauti zao mmekaa kimya mnahangaika na benki sijui ndiyo itawaongezea mshahara au posho.
Walim hawakusimamia uchaguz 2015.Fursa ilitolewa kwa yeyote anayehitaji
 
Back
Top Bottom