Recent content by Box 2

  1. Box 2

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Thanks you my brother, solved already through tigo pesa customer care
  2. Box 2

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Meter na 24219578069 Jina Athuman Tarehe 13-8-2021 Tatizo -nilinunua umeme wa elfu tano kwa tigo pesa namba 0655 882106 bahati mbaya mtoto akafuta meseji ya token kabla hajaingiza, naomba msaada wa token niweze kuingiza, natanguliza shukran
  3. Box 2

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimelipia kuunganishiwa umeme tokea mwaka jana, nkawekea luku lakin ikashindwa kusoma, baada ya units za kuanzia nlizowekewa kwisha, Tanesco walikuja na kufungua luku na kuondoka nayo tokea mwaka jana mpaka Leo kimya Jina Rose Mgonela Eneo stend kuu mbeya Wilaya Mbeya mjini Simu 0752 262650...
  4. Box 2

    Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

    Mpira unadunda ndugu ila tunatakiwa kubadilika sana
  5. Box 2

    Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

    Naona simba mmefrahi sana leo, mmeahangilia, watukua vizur uwanjan leo yanga, simba mlikua vizuri kiushangiliaji
  6. Box 2

    Uwanja wa Taifa :Yanga 1-2 Township Rollers, Klabu Bingwa Afrika

    Hatukua vizuri leo tokea game inaanza, wachezaji walikua waziiito, japo mpira unadunda lakin si kiivo
  7. Box 2

    Msaada: plastiki,chakula na mapishi

    Wataalam wa afya, naomba msaada juu ya athari za kiafya kama zipo juu ya hili.Dada zetu na mama zetu siku wapikapo wali hufunika sefuria inayopikiwa wali kwa kutumia mifuko ya plastiki na hasa mieusi, je kuna athari zozote kiafya ?, huanza mfuko wa plastiki afu mfuniko, lakin dada zetu na mama...
  8. Box 2

    Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

    Mkuu naomba nisaidie hii s.2436 plz plz
  9. Box 2

    Big Match: Simba 0 - 1 Azam, Lamba lamba waondoka na mkia wa mnyama

    Kipigo cha simba leo itakua furaha kwetu na hakuna namna wapigwe tu
  10. Box 2

    Hepi bathdei to Dinazarde

    Congrats D if and only if
  11. Box 2

    Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

    Leo yanga raha teleeeee,huyu Emmanuel huyu yupo sawa hasaa
  12. Box 2

    Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

    Simba tulieni muone soka la yanga,acheni porojo porojo
  13. Box 2

    Ligi Kuu Soka Tanzania Bara 28 Dec 2016: Yanga Sc 4 Ndanda FC 0

    Simba hua hamkubali ushindi wa yanga,polen lakin leo mlijiandaa kushangilia ndanda
Back
Top Bottom