Taasisi za dini ya kiislam zinapaswa kuwa proactive katika kulaani vitendo vyote viovu vinavyofanywa na vikundi vya kigaidi vinavyojificha kwenye mwamvuli wa dini ya kiislam.
Ni mara chache kukuta waislamu wakiportray vikundi vya kigaidi kama ni vikundi vibaya sana hivyo waumini wake...
Habari za jioni wanajamvi,
Nimetafakari sana hili suala la kodi ya PAYE tunazokatwa wafanyakazi tulio sekta rasmi kwa kweli nimeona haliingii akilini hata kidogo!!
Kwa kutumia mfano wa G. Malisa
"By Malisa GJ,
Mtu mmoja kanitext hivi inbox;
SWALI: "Kaka mimi niko shirika..... (akataja jina...
Wewe unaangalia mvua hizi za wiki mbili ila mahangaiko aliyopata huyo mzee Kashangaki toka mwaka 1997 mpaka jana huyaoni na hayaumi!!
Kama ingekuwa sio uvamizi hilo eneo lingeshamzalishia sh.ngapi to date!!
Unajua hasara aliyoingia kuhangaika na kesi kwa miaka 19!!
Tufuate sheria bila shurti...
I concur.. uvamizi wa maeneo ya watu ni tatizo sugu. ulianzia wilaya ya kinondoni
na utahitimishwa Kinondoni.
Hao wavamizi au hata walionunua huwa wanajua toka mapema hilo eneo lina mwenyewe ila ni vichwa ngumu kuukubali ukweli na kumtafuta mwenye eneo wazungumze awauzie kwa bei ya soko...
Dah that was deep bro.. yaani machozi yamenidondoka... kisu kimegusa mfupa.. na kunifanya kukumbuka mbali sana.. nilikuwa dogo sana nilipoenda Goshen In. kusoma lugha ikiwa haipandi fresh.. chuo hakina Mtz hata mmoja!!! I was so lonely..! Ukichanganya na ubaguzi.. dah!
All in all RIP Drew..
Tanesco ilikuwa imeoza! Na huu uzi ni ushahidi wa huo uozo! Yaani hatua za kuondoa uchafu zinaonekana kama kuingilia majukumu ya wataalam!?
Yaani waziri akae tu asubirie mtaalam alielikoroga miaka yoote eti ndo ageuke kuwa jiwe kuu la pembeni!!
Kabla hujatumbuliwa yatumbue yote yaliyo ndani ya...
Hivi kulikuwa na umuhimu kwa mtu anaetuhumiwa kwa udini kumalizia hiyo farewell note yake kwa vifungu vya kuran!? Tena ambavyo vimekaa kimafumbo mafumbo!? Ambavyo ukiread btn the line ni ..........!! Kwa nini ukoconfirm doubt na tuhuma ambazo wengine hatukuwa tunaziamini but now tumeziamini? He...
Hivi ukienda bar umkute dada kapiga kimini chake ukampenda na ukamnunulia nyama choma na bia. Kisha wakati wa kuondoka ukamkaribisha hotelini ulikofikia akakubali.. wakati mnaondoka mamwera hao.. eti uko chini ya ulinzi umechukua changu doa.. inaingia akilini hiyo!!?
Kweli lakini.. itakuwa vyema kama haya makusanyo yatakuwa na direct impact kwenye unafuu wa maisha ya mtanzania. Umeme upungue bei.. viwanda vifufuliwe.. barabara za mitaani ziboreshwe kiwango cha lami etc.. enzi za mkwere hela kama hizo zilikuwa zinapigwa juu kwa juu wananchi tunapewa sound tu...
Shamba kwa ajili ya ufugaji inakuaje? Mpaka liwe na mazao? Shamba la kuchimba mawe, kifusi na kokoto ni vipi? Inabidi lilimwe ndo lihesabike shamba?
Huyu waziri ntamwelewa akikomesha uvamizi wa ardhi Kinondoni.
Serikali na taasisi zake pamoja na mashirika ya umma yamejilimbikizia maekari kibao...
Kwa hili ni lazima waziri atumbuliwe.. hata kama kahamishwa wizara au ni huyu huyu muhongo kwa kweli hamna namna inabidi atumbuliwe na afikishwe mahakamani na pesa zetu arudishe.
Mawaziri akina mramba na yona ndo wa mwisho kusamehewa na kupewa viadhabu vya kitoto.. hawa wengine wote ni lazima...
Mgogoro kautatuaje!? Bado ule mgogoro haujaisha kwani uvamizi wa maeneo ya watu unaendelea!! Huko huko madale na kaza roho ulikotaja.
Ni juzi tu kasaidia eneo la Sumaye lisivamiwe lote na wavamizi.
Mimi nitamuona kweli ni jembe atakaporudisha utawala wa sheria kwenye suala la ardhi na kukomesha...
Juzi kati nilienda coco katikati ya week mida ya saa tano unusu ivi nkakuta parking lot kavu kabisaa... na ile karioke imedoda mbaya.. yaani hali ni tete.
Coco ilikuwa ikifika saa sita usiku deileee ilikuwa inachanganya mpaka kuchee ila sasa duuuuhh...
Double standard yake kwa wavamizi katika wilaya ya kinondoni ndio inamtia doa kubwa! Wavamizi wa kwa Sumaye kasema point blank waondoke.. waliovamia mashamba ya raia wengine analeta siasa na figisu figisu wakati kama ni umiliki halali wote wanao na kakili DC aliepita aliwaondoa hao wavamizi...
Nchi haiwezi kuendelea ikiwa wananchi wake wanawekewa speed governor ya utafutaji na uwekezaji. Itungwe tu sheria nzuri ya kuwabana hao wenye ardhi isiyoendelezwa au mapori itakayowafanya waiendeleze au wauze kama itageuka kuwa mzigo kwao. Kuna wafugaji wakubwa vilevile wanaohitaji maeneo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.