Farewell to Arms: Barua ya Dr. Ramadhani Kitwana Dau kwa wafanyakazi wa NSSF

GRAND MUFTI

Senior Member
Jun 3, 2015
136
104
Naamini kuwa historia huko mbele itamjudge Dr Ramadhani Kitwana Dau kindly kwa utumishi wake uliotukuka kwa nchi hii na shirika la NSSF.

I disagreed with him on his love and support for Kandambili (Yanga) & Gunners (Arsenal), but his courtesy, focus on issues rather than ad hominem bile, and genuine belief in equality was inspiring and the way his enemies and gutter media treated him proved that we are in deed in a "Tanzanian Dilemma".

I will always have deep respect for him as a man of conviction and honour. Corporate Tanzania is a lesser place without him.


dr-dau-farewell-1-jpg.332073


dr-dau-farewell-2-jpg.332074


dr-dau-farewell-3-jpg.332076


dr-dau-farewell-4-jpg.332077


dr-dau-farewell-5-jpg.332078
 

Attachments

  • Dr Dau Farewell 1.jpg
    Dr Dau Farewell 1.jpg
    44.4 KB · Views: 860
  • Dr Dau Farewell 2.jpg
    Dr Dau Farewell 2.jpg
    44.2 KB · Views: 770
  • Dr Dau Farewell 3.jpg
    Dr Dau Farewell 3.jpg
    51.9 KB · Views: 757
  • Dr Dau Farewell 4.jpg
    Dr Dau Farewell 4.jpg
    50.2 KB · Views: 716
  • Dr Dau Farewell 5.jpg
    Dr Dau Farewell 5.jpg
    41.1 KB · Views: 801
Ni vizuri kuwaaga waliokuwa wafanyakazi wenzake lakini ninachokiona ni baadhi ya watu kulifanya suala la kuondoka kwake NSSF kama ni jambo jipya na la ajabu.

Kama haiwezekani nchini kuwa na Rais wa nchi wa maisha, itawezekana vipi kwa mashirika yake ya umma kuwa na wafanyakazi wa kuteuliwa ambao watatumikia maisha yao yote.

Labda mimi ndio sifahamu na ninahitaji kuelimishwa!

What is so special?
 
Wa
Ni vizuri kuwaaga waliokuwa wafanyakazi wenzake lakini ninachokiona ni baadhi ya watu kulifanya suala la kuondoka kwake NSSF kama ni jambo jipya na la ajabu.

Labda mimi ndio sifahamu na ninahitaji kuelimishwa!

What is so special?
Wanahofia kumkosa jinsi ya kumuona wakiwa na udhuru ,unajua kuonana uso kwa uso na kupiga simu kuna utofauti kiaisi,watu husema wanadamu tumeumbwa na nyuso za aibu ,ukija na tukaonana ana kwa ana inakuwa ngumu kiasi kusaidia shida kuliko unipigie simu.,nadhani wanaolilia ni njaa zao kwani si ajabu Dr Dau aliwasaidia kwa mengi hapa mjini,kwani Dr Dau nae ni mtoto wa mujini,ameiona Kariakoo ,Magomeni zikijengwa nyumba za miti hadi kuwa Mabugando.
 
Wananchi wanahangaika kupata mafao huku yeye anatumbua mihela miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu, nssf inajenga hotel mwanza gorofa ishirini nani atalala humo? Wamejenga hotel mwanza imefanyakazi mwaka mmoja imefungwa aende zake tena asigeuke nyuma.
 
Hivi kulikuwa na umuhimu kwa mtu anaetuhumiwa kwa udini kumalizia hiyo farewell note yake kwa vifungu vya kuran!? Tena ambavyo vimekaa kimafumbo mafumbo!? Ambavyo ukiread btn the line ni ..........!! Kwa nini ukoconfirm doubt na tuhuma ambazo wengine hatukuwa tunaziamini but now tumeziamini? He must be radical to do that!!
 
Wananchi wanahangaika kupata mafao huku yeye anatumbua mihela miradi isiyokuwa na kichwa wala miguu, nssf inajenga hotel mwanza gorofa ishirini nani atalala humo? Wamejenga hotel mwanza imefanyakazi mwaka mmoja imefungwa aende zake tena asigeuke nyuma.
NSSF walikuwa wanamiliki hotel Mwanza?,hotel gani?.
 
Ni vizuri kuwaaga waliokuwa wafanyakazi wenzake lakini ninachokiona ni baadhi ya watu kulifanya suala la kuondoka kwake NSSF kama ni jambo jipya na la ajabu.

Labda mimi ndio sifahamu na ninahitaji kuelimishwa!

What is so special?

Nothing special; wengine wanafikiria alikuwa na haki ya kutumikia NSSF miaka yote na maisha yake yote. Wanasahau kuwa alikuwa pale kutumikia Taifa na kuwa anaweza kuitwa kutumikia taifa mahali pengine na wakati wowote. Hili halimhusu yeye tu bali mtumishi mwingine yeyote wa umma. Sielewi kwanini inaonekana kama vile Dau alikuwa anatumikia kampuni yake binafsi kiasi kwamba hakupaswa kuondoka, kuondolewa au hata kuulizwa.
 
Huwa sielewi kwa nini Dr Dau akitajwa mijadala huambatana na hisia kali za udini? But sitaki kujifanya sijui nini kinaendelea ingawa hakuna evidence za kutosha...

Pia tamko lake linaonesha kama kuna kitu anataka kujustify, either anaamini watu hawaoni alichokifanya au anataka kum BULLY mkurugenzi mpya kwamba aliyetoka aliota mizizi. Kama mtu umefanya kazi kwa mafanikio kama aliyoyapata Dr Dau, hauhitaji kuandika kurasa zote hizo kujielezea, mafanikio yanajieleza yenyewe Dr Dau
 
Huyu jamaa amefanya mambo makubwa sana NSSF nasikitika ameondoka baadhi wakimtuhumu kuwa na upendeleo kwa waislam
 
Kuna kitu kina muumiza DR. DAU kuhusu maamuzi yaliyochukuliwa juu ya kuondolewa kwake NSSF, hapo alipomaliza kwa vifungu vya msahafu ni kama anawaambia/mwambia aliemtoa NSSF kama kigezo ni uislam, hata huko unakotaka kunipeleka unaweza kuacha,tu.
 
Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji - PIC imesema mfuko wa pensheni wa PSPF upo hatarini kufa muda wowote kuanzia sasa kutokana na deni kubwa ambalo mfuko huo unadaiwa ambapo mpaka sasa deni limefikia fedha za Tanzania shilingi Bilioni 987.7


nb.JPG

Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji chini ya Mwenyekiti wake Richard Ndassa ikipitia ripoti ya mfuko wa pensheni wa PSPF jijini Dar es Salaam leo.

Kiasi hicho cha fedha ni kutokana na madeni ambayo mfuko huo unaidai serikali pamoja na uwekezaji ambao umefanywa na mfuko huo katika maeneo mbali mbali nchini ikiwemo ujenzi wa majengo na kama Chuo kikuu cha Dodoma na ukumbi wa bunge.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, mbunge wa Sumve Bw. Richard Ndassa, ametoa angalizo hilo jijini Dar es Salaam leo na kwamba kati ya fedha hizo, shilingi bilioni 453 ni madai ya wastaafu wanaofikia 53,734 wengi wao wakiwa ni walimu wanaoidai serikali mafao yao, ambapo katika kufanya hivyo hujikuta wakizurura na makaratasi katika ofisi za umma pasipo msaada wowote.

Imedaiwa kuwa kwa kipindi cha miezi sita serikali haijapeleka michango ya makato ya watumishi wake kwa mfuko huo kiasi cha kufikia kushindwa kulipa hundi za malipo kwa miezi kadhaa, huku mfuko huo ukiingia mkataba wenye utata na mfanyabiashara mmoja maarufu nchini ambapo inaelezwa kuwa shirika hilo linamdai mfanyabiashara huyo takribani shilingi bilioni sita.

Katika maelezo yao, wajumbe wa kamati wameitaka serikali kutoa majibu ya jinsi inavyoweza kutatua tatizo la madeni yanayoikabili PSPF, ili iweze kulipa madeni ya malimbikizo ya pensheni kwa wastaafu ambao kwa sasa wanaishi maisha magumu.

Aidha, wabunge hao wameitaka serikali kuacha tabia ya kuchukua pesa kutoka katika mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na mashirika mengine ya umma bila kulipa, kwani ipo siku serikali yenyewe ndiyo itakayoiua mifuko na mashirika hayo na kuleta madhara makubwa kwenye uchumi.
Kwa kuwa mkurugenzi sii muislam hawalaumu juu ya hali hiyo ya pspf.Wamekua vipofu kabisa juu ya utendaji wa mkurugenzi wake
 
Hivi kulikuwa na umuhimu kwa mtu anaetuhumiwa kwa udini kumalizia hiyo farewell note yake kwa vifungu vya kuran!? Tena ambavyo vimekaa kimafumbo mafumbo!? Ambavyo ukiread btn the line ni ..........!! Kwa nini ukoconfirm doubt na tuhuma ambazo wengine hatukuwa tunaziamini but now tumeziamini? He must be radical to do that!!
Kaonyesha makucha yake dhahiri....
 
Back
Top Bottom