Tumeambiwa sirikali imekusanya mapato mengi kiasi kufikia trilioni 7 point something pia jumlisha na pesa ambazo zilipatikana kwa kubana matumizi ya sirikali.Sasa swali langu ni hivi je wananchi wakawaida hasa wale wa kipato cha chini kabisa wamenufaika vipi na makusanyao haya au watanufaika vipi maake kila mara twaambiwa sirikali imekusanya lakini hatuelewi tutafaidika vipi na haya mapato
Pili nataka kufahamu kuanzia hii sirikali mpya iingie je kuna unafuu wowote especial kwa mambo ya vyakula,vifaa vya ujenzi kama cement vile maake tuliambiwa vitashushwa ndani ya siku si nyingi hii ilikuwa wakati wa kampein na akasema akiingia tu baada ya kuchaguliwa hilo halitasumbua kwani mfano upo hai bwana Dangote kwa upande wa Cement keshaanza uzalishaji so nataka msaada kwa hili pia.