Ukiona mtu anajiuliza maswali kama haya basi ujue huyo mtu dini imemshida maana hakuna namna yoyote ambayo unaweza kuelezea mambo ya Mungu kwa kutumia nadharia za kibinadam vinginevyo utazua mijadala ambayo haina mwisho
Hivi karibuni tumeshuhudia ongezeko la ajari za barabarani ambazo zimesababisha vifo vya watu wengi je, unahisi ni sababu zipi ambazo zimepelekea ongezeko la ajari hizi? Na ni nini mwarobaini wa tatizo hili?
Karibuni kwa maoni na ushauri.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.