Recent content by bornagain

  1. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti asiye na wazazi au mwenye wazazi yupi anafaa kuwa mke?

    Hata kama hujafafanua mimi maoni yangu ni kwamba, kama binti hana wazazi kabisa labda walifariki na akalelewa na ndugu wengine huyo hana shida ila pia chunguza kama hao ndugu waliomlea ndoa yao ipoje, kama mama ndio kila kitu huyo binti muache. Na pia kama wazazi wanaishi ila wametengana huyo...
  2. bornagain

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa mazoezi na diet

    Sio kweli huwezi kupunguza 15kg kwa miezi nane tu, haiwezekani labda kama ulipelekwa jela, eti kwa diet tu na mazoezi kidogo you are absolutely lying
  3. bornagain

    JamiiForums Tanzania Chalamila omba wasaa ukutane na Mheshimiwa Rais uombe umueleze upande wako wa stori

    Hiyo nayo ni IT:):):)
  4. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada na mdogo wake wananipenda bila kujuana

    Kwani wewe unafanya kazi internet cafe? Ama wewe unafanta kazi TCU kwamba ni professional wa kusaidia watu kuaply vyuo
  5. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyekuacha akazaa na mtu mwingine vs mwanamke mpya mwenye mtoto wa mtu mwingine

    Hivi duniani kuna wanawake wangapi single na hawana watoto, utakufa kwa visukari na pressure siku sio zako.
  6. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe amenishangaza! Anamwambia mke wangu (Mwanaye) ataachana na mimi kama yeye alivyoachana na Baba Mkwe

    My friend umemaliza kila kitu kwenye hili andiko lako, yaani kama ni thesis haihitaj kwenda kwa external examiner
  7. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe amenishangaza! Anamwambia mke wangu (Mwanaye) ataachana na mimi kama yeye alivyoachana na Baba Mkwe

    Huwezi kunielewa ila walionielewa watakuwa wameelewa lakini pia nimeongea based on my own experience kwamba nimeoa familia ambayo baba na mama waliachana so naongea nachokijua na sio story za kusimliwa. Kwa hiyo please acha kugeneralize sijui walokole ama wapagani hapa hayahusiani tujikite tu...
  8. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama Mkwe amenishangaza! Anamwambia mke wangu (Mwanaye) ataachana na mimi kama yeye alivyoachana na Baba Mkwe

    Kusema ukweli binafsi nimeoa familia ambayo mama na baba walitengana, ila mtu akija kuniomba ushauri kijana anaetaka kuoa mtanisamehe sana ila siwezi kumshauri akaoe kwenye nyumba ambayo baba na mama walitengana, kama kifo ndio kiliwatenganisha hapo sawa ila eti baba anaishi na mama anaishi huku...
  9. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke jiko bana, kwingine tutaelekezana tu

    Hahahaha haki nimejikuta nacheka
  10. bornagain

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi dada wa kazi ana hisia na mume wangu

    :(:(:(
  11. bornagain

    JamiiForums Tanzania Nauza.....!!!

    Natafuta hii kitu muda mrefu, please unapatikana wapi. Niinbox namba yako nikutafute pls
  12. bornagain

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ramani rasmi ya Tanzania, imetolewa leo Mei 17 2016

    Hiyo ramani ya mwaka gani mbona haina hata mkoa mpya wa Songwe?
  13. bornagain

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wengine Duniani Waliopata zaidi ya 90% kwenye Uchaguzi

    Umemsahau Paul Kagame wa Rwanda aliwahi kupata 94% pia
  14. bornagain

    JamiiForums Tanzania Mwiba Holdings Limited

    Umeskia waziri mkuu amewapa siku ngapi hawa wawekezaji? Amewapa siku saba wajisafishe la sivo hati yao ya uwekezaji inafutwa mara moja
Back
Top Bottom