Recent content by born in june

  1. B

    GE2020 Mgombea Ubunge Khamis Mwinjuma (Mwana FA) aliwahi kukiri kuwachukia baadhi ya watumishi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama (Askari wa Jiji)

    Ukiwa unatafuta RHYME ya wimbo, usishangangae hata ukasema unamchukia Magu, ili mdundo wako uende poa. Hata hivyo kazi ya sanaa sio kila neno huwa ni la kweli, muda mwingine ni vionjo vya kuelezea tukio husika. Hongera sana kwake!
  2. B

    Hivi huwezi piga rangi gari bila kupiga puti?

    Inategemea unapiga palipochubuka, muda gani baada ya kuagiza gari. Kama gari umeshakaa nalo mwaka mmoja, lazima rangi ya awali ianze kutokuwa na mng'ao kama wa mwanzo. Kwahyo ukipiga sehemu iliyochubuka tu, GARI ITAKUWA NA MABAKA MABAKA, kwa sababu sehemu uliyopiga rangi itakuwa inang'aa...
  3. B

    Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

    Hivi mna uhakika gani kama ni pombe?? Na hizo pombe kwani kaanza kunywa jana??
  4. B

    Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

    Ukishayumba kiuchumi tu, TEGEMEA MAUMIVU BRO
  5. B

    Maisha ni mtihani mkubwa

    Kwanza nampa POLE. Ila pia kwa yule ambaye alikuw na uwezo wa kununua loti, basi alikuwa ameshajipanga kimaisha kwa yanayofuata. So, anasikitika kupoteza lori, japo naamini alikuwa amelikatia BIMA, so kapata maumivu, japo yatapunguzwa kidogo na bima aliyokata. Ugumu wa maisha, muwazie mama...
  6. B

    Nifanye nini mwanangu awe mtunzaji bora wa vifaa navyomnunulia?

    Hahahahahaha....!!! Mada za watu familia bora bana, sasa unataka wa Manzese na Tandale tujibu nini? Huku kwetu ukiwa na ipad unavimba, mtaa mzima wanakushobokea.
  7. B

    Msaada: Nimepatwa na changamoto kwa "Wife" na huyu dada

    Endelea kuchepuka tu huku ukifanya mambo yako ya maendeleo kwa siri. Ukiweza anaza kujijenga kama kuwa na viwanja au hata mali zingine bila mkeo kujua...!!! Wewe na mimi, same script different cast...!!!
  8. B

    Kwako Afande Muroto RPC wa Jiji la Dodoma zingatia hili mkuu

    Asante kwa KUNIHONGEZEHA TAHALIFA..!!! Ungepambana kwanza kujifunza kuandika vizuri, kuliko kuingilia kazi za polisi...!!!
  9. B

    Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Hapo kwenye AWE MWAMINIFU NA MKWELI, ndo unapofeli....!!! Hicho kigezo ni kigumu sana na huwa tunafeli wengi. Pagumu hapo. Naweza nikakosa kimoja, nikawa na kimoja. Ila vyote viwili, HAPANA AISEE...!!!
  10. B

    Polisi wanajuaje bei za madawa ya kulevya?

    Sasa noti bandia ya elfu 10, si utasema ni ELFU 10. Na zikiwa 100 utasema noti bandia za 1,000,000/= namaanisha unathaminisha na thamani halisi ya noti husika endapo ni noti za ukweli
  11. B

    Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

    Marekani, Dubai na London...!! Okay safi
  12. B

    TCCIA-Hali ya biashara ni mbaya Dodoma

    Yeye ni wa Dodoma (mkoa) halafu anasema ANATAKA UTAFITI UFANYIKE, tena NCHINI...!!! Hizi statement za NATAKA, NAAMURU, NAAGIZA, tena kwa issues zinazohusu NCHI, zinatolewa na mtu mmoja tu aisee. Yeye anatakiwa KUSHAURI. Huyo jamaa anafeli wapi aisee??? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom