tusubir majibu coz they have played their part kama viongoz lisingekuwa jambo la busara wao kama viongozi kuona kuna tatizo katika swala la mikopo and they sit and do nothing
mm nakumbuka kusugua mbegu ya ubuyu ukutani hadi inakua ya moto kabisa halafu unamuunguza jiran yako hapo pemben [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
jamani naombeni masaada wa vyuo vya binafsi na serikali vinavyotoa diploma ya maswala ya aridhi ila ambavyo vipo Morogoro au Dar-es-salaam
kwa anaevifahamu tafadhali anisaidie...
mimi ningekushauri ubaki katika fani yako ya ualimu kwasababu tayari una uhakika na kazi kuliko kusomea fani nyingine halafu baada ya hapo kupata kazi iwe msoto tena ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.