App ya ku track messages za namba nyingine

App ya ku track messages za namba nyingine

Mbona wote mnahisi ni mpenzi tu ndo anafatiliwa....kama ni adui ndo namfatilia??
 
[emoji4] [emoji4] Duniani watu wanatafuta presha kwa Mb zao, watu wengne wanapata presha na wasiwasi kuhusu mali na utajiri walio nao lakini wewe ni tofauti.
Principle moja elewa aliwazalo mjinga ndilo litakalomtokea, mawazo yako yako kwa mpenzi wako tu nenda kwa babu ukatengue hiyo limbwata
je kama mtu tayar ameshapata presha juu ya mali na utajiri, kwa nn asitafute na presha juu ya mb??
 
Kuna njia nyingine naimani wengi watakuwa wanajua ni ya kutumia whatsapp web kumenage whatsap ya mtu mwingine kwa wale wanaopenda kutruck sim za wapenzi wao pia inaweza kuwa nzur kwao kwakuwa wanawake wengi hawanaga huelewa wa kutosha juu ya hiv vitu.
 
hyo whatsapp web ndo inatumikaje mtaalam
 
Whatsap web ilitengenezwa kwa ajili ya wale wanaopenda kutumia pc . kwenye whatsap ambayo unaitumia kwenye smartphone yako ukiingia kwenye setting ya whatsap utakuta menu imeandikwa whatsap web na ukiifungua utaona inafungua kamera ya sim yako na ikianza kuscan, ukifikia apo fungua browser yako kama ni mozira au google chrom ni sawa then search for whatsap web au download whatsap web for pc application nitaweka link baada ya maelezo ayo pamoja na picha. Iyo page ikifunguka itaonyesha barcode reader chukua sim yako ingia kwenye ile setting ya whatsap yenye whatsap web kama nilivoeleza apo juu na ielekezee kwenye barcode reader itascan ikimaloza itajifunga na utaona ulivokiwa unachat kwenye whatsap ya sim vitatokea kwenye iyo whatsap web. Ila inafanya kazi tu endapo muhusika au iyo uliyoiunganisha ipo online
 
1473400793617.png
 
ukijua anachepuka utafanya nini? hii ni kutojiamini
 
Zipo nyingi ambazo zinatoa huduma iyo bure ila inahitajika ufanye instalation kwenye sim yake na inaoption ya kuitoa aps iyo isionekane kwenye apps screen na kuilock asiweze ku unstall ila inafanyakazi endapo tu atakuwa online sim yake itatuma data zote zilizopo kwenye sim yake kama vile picha, call log ambazo zipo recorded, sms , contact ambazo zipo kwenye sim yake, installed apps mwenye sim yake, na pia kama sim yake uyo mtu unayemtruck kaweka gps on unauwezo wa kujua yupo wap na kama anamove utajua anakwenda wap kwasababu inaoption ya live data . je unahitaji link ni kwa watumiaji wa android tu . USITUMIE APPS IYO KWA UVUNJIFU WA SHERIA.
Mkuu,kna uwezekano wa kumtrack MTU acye tumia smartphone,Mfano mm natumia smartphone ila ninae taka kumtrack Ana Nokia tochi,Msaada plzzz.
 
Whatsap web ilitengenezwa kwa ajili ya wale wanaopenda kutumia pc . kwenye whatsap ambayo unaitumia kwenye smartphone yako ukiingia kwenye setting ya whatsap utakuta menu imeandikwa whatsap web na ukiifungua utaona inafungua kamera ya sim yako na ikianza kuscan, ukifikia apo fungua browser yako kama ni mozira au google chrom ni sawa then search for whatsap web au download whatsap web for pc application nitaweka link baada ya maelezo ayo pamoja na picha. Iyo page ikifunguka itaonyesha barcode reader chukua sim yako ingia kwenye ile setting ya whatsap yenye whatsap web kama nilivoeleza apo juu na ielekezee kwenye barcode reader itascan ikimaloza itajifunga na utaona ulivokiwa unachat kwenye whatsap ya sim vitatokea kwenye iyo whatsap web. Ila inafanya kazi tu endapo muhusika au iyo uliyoiunganisha ipo online
Tupe ufafanuzi kidogo kiongoz hapo sim inayotumika kuistore ni mmoja au ni zote mbili?
 
Back
Top Bottom