Mtakaoomba second round TCU muwe makini sana

Mtakaoomba second round TCU muwe makini sana

Mkuu nilkiweka udom cha kwanza alaf nmekosa pia.
Hawa jamaa ata siwaelew
Kama ungefuatilia idadi ya applicants UDOM waliochagua kozi hiyo kama chaguo la kwanza nina hakika ungebadilisha! Ni wengi sana walichagua UDOM kwa kuwa mazingira ya accommodation ni mazuri sana!
Tatizo MTU akishachagua hafuatilii tena competitors ni wengi kiasi gani ukilinganisha na capacity, hasa wakati dirisha la application linapokaribia kufungwa!
Mbaya zaidi mwingine anafanyiwa apication na wenzake kulingana na utashi wake bila kujua hali halisi kwenye uwanja wa mashindano, halafu anakaa kusubiria selection. Usikate tamaa, nakushauri second round chagua mwecau!
 
Ni ushauri mzuri lakini huko kwenye Diploma hakuna boom na ada yake ni ndefu mbali na malazi na chakula. Hivyo shirikisheni wazazi kwanza kabla ya kuamua kuapply DIPLOMA. Diploma ya vyuo binafsi ada yake inaweza kuzidi hats ada ya chuo kikuu!!!!
Ada ya vyuo vingi vya diploma kwa public college ni 1.2 mil kwenda mbele vingi ndo ada zao na hapo ni kando na malazi hapo utajijua mwenyewe sasa private ndo balaaa sema kitu kizuri unalipa kwa installment ila unapo anza zaidi ya millioni unaweza kutoa kwa mara moja.
 
Kama ungefuatilia idadi ya applicants UDOM waliochagua kozi hiyo kama chaguo la kwanza nina hakika ungebadilisha! Ni wengi sana walichagua UDOM kwa kuwa mazingira ya accommodation ni mazuri sana!
Tatizo MTU akishachagua hafuatilii tena competitors ni wengi kiasi gani ukilinganisha na capacity, hasa wakati dirisha la application linapokaribia kufungwa!
Mbaya zaidi mwingine anafanyiwa apication na wenzake kulingana na utashi wake bila kujua hali halisi kwenye uwanja wa mashindano, halafu anakaa kusubiria selection. Usikate tamaa, nakushauri second round chagua mwecau!
Mwecau ndio wap mkuu
 
Aisee yanayonikuta mimi ni siri yangu, nina point ,9 kwenye masomo 3 nimetemwa aiseee na CBG yangu. Duuuh kumbe hata tembo anaweza kuwa kama sisimizi!!!

Likosea mzee,awamu hii wanahesabia masomo ma2 ulofaulu vzr na sio ma3.Hivo una points chini ya 9.
 
Form four nina three mkuu au ndio sabab pia iyo

Pole sana kk,kna baadhi ya vyuo huangalia hadi matokeo yako ya F4 hasa pale competition ikiwa kubwa mfano MUHAS mwaka jana na juz wote walioingia MD lazma walikua na division 1 ya o lvl ukiachilia mbal ufaulu wa adv.Weng walipigwa chini ingawa walikua na ufaulu mzr wa adv. ila o lvl hawana 1.
 
Jamni nisaidieni ukiandikiwa hv ndo unatakiwa urudie
 
Attachments

  • Screenshot_2016-09-13-09-03-25.jpeg
    Screenshot_2016-09-13-09-03-25.jpeg
    45.5 KB · Views: 45
Inategemea uliomba chuo gani! Tatizo watoto wanabanana UDSM, DUCE, MUCE wakati kuna vyuo vingi tu vizuri vyenye capacity kubwa vimebaki bila kujaa! Acheni kukariri, suti ni suti tu hata kama umeinunulia kariakoo siyo lazima ununulie mlimani city!
Sasa kwenye second round kuna ushindani mkubwa sana hasa kwenye education science. Waliotemwa MD, Pharmacy, Laboratory, Nursing nk wengi hawatakuwa na kiburi cha kunyanyapaa ualimu, hivyo watabanana tena! Matokeo yake kuna watakaoachwa tena second round halafu waanze kushangaa kuwa wametemwa kwenye ualimu sayansi na division 2 zao wakati kuna watu walipata kozi hiyo kwa div 3 first round maana walijua kupima suti kulingana na urefu wao!
NDIO MAANA YAKE KAKA DATS Y MM NLIPOKUWA NA OMBA SELECTION NKIKUTANA NA UD CJUI DUCE CJTI NN NAFUMBA MACHO NA SCROL DOWN [emoji23] [emoji23] [emoji23] NACHAPA LAPA MBELE STAK KUSHNDANA MM CNA NGUV CHAKUGOMBANIA NN AKAR KUNA VYUO KA IFM VIPO MAKIN NA HAVINA COMPETITION
 
Back
Top Bottom