Recent content by BONJ

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    nawashukuru sana kw mchango wenu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    huo ndo ukweli. mi bado namuhitaji sana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    Nimembembeleza sanaaa but hanielewi.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    Nawashukuru wana jamvi wote mlio toa maoni yenu, ninayaheshimu sana. kwa ambao hawajaelewa mada ni kuwa yeye ndio hataki kuolewa tena na hakunipa sababu yoyote.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    hajaelewa nn hapo. ok nilikuwa nasoma naye chuo kimoja. lakin kapata matatizo hayo.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    dem yuupo home tu. da kumotezea nashinwdwa kabisa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    kashindwa kuendlea na shule. yupo home tu. kumotezea nashindwa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tulipanga kuoana lakini kabadili mawazo

    Jamani wana jamvi naomba ushauri wenu, Kuna dada nilikuwa na mahusiano nae na tukakubaliana tutaoana tukimaliza chuo. Kwa bahati mbaya yeye kakwama kuendelea na chuo.Hivyo kaamua kupotezea suala la kuolewa. Ukweli wa moyoni nampenda sana japo tulikuwa tunatofautiana hapa na pale. Ushauri...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    upo sawaaaa
  10. B

    JamiiForums Tanzania Star TV acheni upotoshaji kuhusu Mahakama ya Kadhi

    Mtangazaji Huyo Ana Njaa Ya Akili, Jambo Ambalo Ni Baya Kuliko Vi2 Vyote Dunian.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ateuliwa kuwa Mshauri Mkuu FEMATA

    Jamani mkumbuke kuwa baba akikomba mboga atamsingizia mtoto hapo kwa muhongo kuna kitu baba anakifahamu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuvaa Mlegezo, Nusu uchi, kumbe ni ugonjwa wa akili

    Nimeipenda sana
  13. B

    JamiiForums Tanzania Best Tanzanian university rank 2015

    chipwilu chibwade, HAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAA HAKUNA CHA ST. NANI WALA NINI? NDANI YA TOP 10 CIO MCHEZO KUINGIA HUMO. KAZI KWENU WATOTO WA ST's
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lusinde aivua nguo Serikali mbele ya Kinana

    Tatizo sio kuwa mwana CCM bali kubebewa akili. Nakukubali mh. Lusinde unajitambua, HONGERA SANAAAAAAAAA
Back
Top Bottom