Cassablanca wana Lg 32 inch,DreezyD98.
Vumbi au tope jekundu ndio asili ya ardhi ya kigoma,na kwasababu sehemu kubwa ya barabara haina kiwango cha lami ni changamoto kwa nguo nyeupe hasa unaposafiri.
Further-more Mladi wa barabara kiwango cha lami unaendelea na kakonkoo wanajenga stendi ya...
Kiboko ya yote ni dawa inaitwa Loperamide 10mg tablet per oral, hiyo kwa brand name inaitwa kabisa kama traveller’s diarhoea drug.
Mkuu hiyo unagonga kidonge kimoja tuu start dose...chap kwa haraka maumivu ya tumbo na kuhara kunashika adabu yake..
Hii dawa ni muhimu sanaa kuwa nayo safarini.
Habarini za jioni, poleni na majukumu ya kujenga taifa, niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi ni kijana niliyemaliza Kozi moja wapo ya Afya ngazi ya Stashahada/Diploma mwezi Septemba 2017.
Mnamo tarehe 22/08/2019 nilifanikiwa kupata cheti cha taaluma yangu, lakini kuna makosa katika uandishi...
Jamani kwa kweli, huku kwetu ni kero kubwa mno,watu wanashindwa kusaga mahindi kupata unga, maji yanashindwa kupandishwa(hayatoki maji) kwa kweli hali mbaya siku ya 5 leo hakuna hata umeme
Hapo kaka bios imekuangusha kwa mujibu wa wizara vigezo vya chini kabisa ni phy D,chem C na bios C pia ufaulu engl C na maths C kwa diploma ila jaribu kwenye privates.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.