Msaada: Cheti changu cha Stashahada kimekosewa jina, nifanyeje?

Msaada: Cheti changu cha Stashahada kimekosewa jina, nifanyeje?

Joined
Jul 18, 2017
Posts
12
Reaction score
37
Habarini za jioni, poleni na majukumu ya kujenga taifa, niende kwenye mada moja kwa moja.

Mimi ni kijana niliyemaliza Kozi moja wapo ya Afya ngazi ya Stashahada/Diploma mwezi Septemba 2017.

Mnamo tarehe 22/08/2019 nilifanikiwa kupata cheti cha taaluma yangu, lakini kuna makosa katika uandishi wa jina langu la mwazo, ambapo imeandikwa BONIFAS baadala ya BONIFASI.

Naomba ushauri kutoka kwenu wana JF, kama mtu alipitia changamoto kama hii suluhisho lake ni lipi? Maana naogopa usumbufu mbeleni, kwani kwenye vyeti vyangu vyote vya sekondari na kile cha kuzaliwa jina ni BONIFASI na si BONIFAS.

Ahsante naomba kuwasilisha, naamini nitapata ushirikiano kutoka kwenu.
 
Nini maana ya wewe kua msomi?vitu vidogo kama hivyo tumia halmashauli yako ya kichwa kutatua mambo kama hayo madogo.wana jf tuko bize.
Rudi uliko pewa chati...NO way.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu suala dogo kama ilo unashindwa kulitatua je wagonjwa utàweza kuwahudumia?
 
Habarini za jioni,poleni na majukumu ya kujenga taifa.
Niende kwenye mada moja kwa moja;
Mimi ni kijana niliomaliza kozi moja wapo ya afya ngazi ya stashahada/diploma mwezi septemba 2017.
Mnamo tarehe 22/08/2018 nilifanikiwa kupata cheti cha taaluma yangu,lakini kuna makosa katika uandishi wa jina langu la mwazo, ambapo imeandikwa BONIFAS baadala ya BONIFASI.
Naomba ushauri kutoka kwenu wanaJF kama mtu alipitia changamoto kama hii suruhisho lake ni lipi? Maana naogopa usumbufu mbeleni,kwani kwenye vyeti vyangu vyote vya sekondari na kile cha kuzaliwa jina ni BONIFASI na si BONIFAS.
Ahsante naomba kuwasilisha,naamini nitapata ushirikiano kutoka kwenu.
wewe neda chuoni kwako kisha fwata taratibu zilizopo ubadilishe jina ....ila ww hadi unaondoka chuo hujahakiki cheti chako kama kipo sahihi kwa kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huko kijijini kapangiwa mdogo wako wewe uzoefu wa nini?

Cha kukushauri/ kumshauri huyo bwana mdogo Mwambie aende tu atapata uzoefu wa vitu kama ivo
 
Back
Top Bottom