Recent content by bongo experience

  1. B

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    KUNA SERIES INAITWA FARZI AISEE FANYA KUITAFUTA HUTAJUYIA MUDA WAKO
  2. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Umeumbwa kushangaza dunia

    Ulipokubali sup ni ujasiri mkubwa sanaaaaa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Katoro ni Business center inayokua kwa kasi ya ajabu

    Katoro wanajua kuutumia wenyeji wao kama huna mtu wakukupokea kufilisika ni kugusa tuu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jina gani zuri naweza kulitumia kwenye bar yangu?

    Kakatwalakukojolea pub
  5. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma Kuna Pesa, huu ni ukweli. Nashauri nendeni mkafanye research, muda ndio huu

    Peas zipo kila mahali tatizo ni password [emoji360][emoji360]
  6. B

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Tatizo yeye alikuja na mkwara mzito hadi kuwatishia samaki wakubwa kwahiyo pin [emoji419] ikahusika hapa nathani jamaa anaongelea kiwanda cha kimta zaidi
  7. B

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

    Wanasema like shamba walilolima bangi ni moja ya agriculture project kubwa sana dunia zilizofanikiwa maana kwanza walilima sehemu kame sana haina hata rutuba kwanza wakachimba miamba kutafuta maji halafu wakatutubisha udongo
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia wakati wa kuanzisha biashara ya spea za magari madogo

    Hongera sana sana mkuu yani umeniongezea madini vibaya sana umenisaidia sana hapo kwenye muingiliano mimi nimefungua auto spare nina miezi mitatu nalo bado vitu vilikuwa vinanipiga chenga
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ni kipindi gani kigumu ulishawahi kupitia ambacho kilikupa hasira ya kutafuta pesa kwa nguvu?

    Ulishajaribu kwenda kuwaona hao wapishi na kuwashukuru??
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vanilla; yafika $600 kwa kg 1 ikiyapiku madini ya silver yanayouzwa $550 kwa kilo

    Mara ya kwanza kujua hili zao lina thamani ni mkoa wa kagera nilikuta vanila inalindwa na bunduki na mbwa za kutosha ikiwa shabani inakaribia kuvunwa kwa kifupi ni madini kabisa kuna watu wameshauawa kwa ajili ya vanilla
  11. B

    JamiiForums Tanzania Riba za mabenki

    Dah!!!!aisee bonge ya elimu hongera sana mleta mada
  12. B

    JamiiForums Tanzania Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

    Movie nyingi zinazohusu drug lazima ziguse SINALOA MEXICO queen of the south,snow fall,cocain coast,black widow
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanitesa. Ni mimi tu ama tupo wengi

    Hata mimi kabla sijawa na familia hata dereva akimbize kama F1 nilikuwa siogopi ila nilipoanza kumiliki familia aisee nimekuwa muoga wa gari zinazokimbia
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

    Nyongeza badala ya kutumia makopo nakushauri utumie mifuko ya lailoni kama ya karanga ni mizuri pia kuna jamaa yangu ndio anafanya hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ukienda kutafuta maisha kwenye mikoa hii ni ngumu sana kutoboa

    Arusha, Kilimanjaro watu wamekaba kila kona hata majani yanauzwa Kigoma imejitenga sana mpaka umalize wilaya zote ndio ukute mkoa mwishoni kwa Zanzibar hasa Pemba chenchi ya elfu kumi mpaka uende bank Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom