Recent content by Bongo dar es salaam

  1. B

    JamiiForums Tanzania “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Nikajua una uhakika na ulichoandika
  2. B

    JamiiForums Tanzania “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Hili la kweli wakuu au mnachangamsha jukwaa?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tumekataa kitu tunacho kiita kutunuku ufisadi tunataka vijana jeuri wenye nguvu na mashujaa tuikomboe nchi yetu tutakinikusha

    Yule kamanda wenu amewaingiza chaka vijana kawajaza upepo alafu kawaachia msala inauma sana
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sasa mtu asafishe vipi cheti alimaliza miaka karibu 10 imepita hapo uliongea kwa chuki tu na Wala sio Kwa point anyway endelea kupambana check no zinatafutwa na zinapatikana
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Punguza uchawi mkuu hao mwenye four wamewapiga chini watu wenye 1 na 2 kwenye interview
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sio poa ila saf tu ukishakuwa ofisini Mambo mengi unayajua hata pepa likija unawakanda
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yani sio poa ngoja tusubili tuone hii ngoma
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kisanga Babu ila hili sidhani Kama lipo hii unamaanisha kilichofanyika huko nyuma ni kazi bure
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii speech ya katibu mmeisikia wazee ili upande daraja au uthibitishwe kazini lazima ukapige pepa kwanza hapa sjui imekaaje hii
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii ndio bira kuchoka hongera sna mkuu
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tulianza tangu tarehe 1
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Dhu nyie mnakisanga kak sie tushapewa chetu mda tu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kwani ya kujikimu hamkupewa nyie?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Labda hivyo maana mtu anayechungulia kwenye account kila mda kuwa na dem sio suruhu
Back
Top Bottom