Recent content by Bonge Minyama

  1. B

    JamiiForums Tanzania Virusi vya korona vyaja kivingine!

    Acha woga covid-19 Bongo tunadunda tu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania ni kama tunalazimisha kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

    Atakuwa for life kweli ,..
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania ni kama tunalazimisha kuwekewa vikwazo vya kiuchumi

    Umeongea huku ukijiamini balaa
  4. B

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Na ndio maana anastahili kuombewa kwamaana kama mtu unafanya maamuzi hayo ujue hauko sawa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Angalia kilaza mwingine huyu... hv unaona hilo haliwezekani kwa hali ya kisiasa iliyopo nchini kwako???
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Msigwa wa TUCTA kuungana na wa CCM kuwakandamiza watumishi , inauma sana

    Wazee hii inakera sana ,. Me nafikiri inabidi ifike mahala hawa wana siasa tuwaweke kando nchi tuiongoze wenyewe ,.. unyanyasaji huu ni mbaya hakuna mfano.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa barmaid. Je, nitadumu nae?

    Ulimpataje??? Kama kwa kumlipa basi jua wako wengi wanaomlipa mpaka sasa ila pakulala anapo so halali anafanya changamsha bwege.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Acacia Mining in Big Corruption Scandal

    Nimeusoma huu mzigo ingawa kuelewa lugha ni ngumu kidogo ila ,.. it makes sence to me that hii inaitwa twende sawa when considering what ACACIA have done to us.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kurenew line za simu kupitia polisi ni kero kubwa

    Huoni kama na huo utakuwa usumbufu kwako pia.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

    Hawa dada zetu huwa wengi wao hawaoni umuhimu wakutulia na mwanaume asiye na pesa kipindi wako kwenye peak 20-25 wakifika 26 na kuendelea wanajikuta wameshatumika sana halafu hakuna mwenye mpango ,. Na ss tunarudi kule 20-25 maana wao wanakuwa washapitwa na wakati..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake/wadada wanene

    Vibonge wasumbufu tu kitandani ,.. akijigeuza mara chaga inapiga kelele yaani vurugu tu hupati hata usingizi.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Hawa hawajawai ridhika ni kweli kabisa
  13. B

    JamiiForums Tanzania I hate sex

    Hii kitu hutokeaga lakini sio kwa muda mrefu lakini mara nyingi husababishwa na msongo wa mawazo ama uchovu baada ya kazi muda mrefu
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mchanga wa Madini: Mwanasheria wa ACACIA yuko London kufungua kesi

    Mkuu tatizo ni rushwa rushwa rushwa
Back
Top Bottom