EmmanueldTz
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 289
- 266
Kiukweli si mazuri yanayotokea ila nimecheka sanaa mkuu ulivyokoment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Parapanda Italia!
Parapanda Italia!
MkuuKiukweli si mazuri yanayotokea ila nimecheka sanaa mkuu ulivyokoment[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa nini mpendwa
Tanzania HATUNA coronaWakati Dunia inapata matumaini ya kudhibiti virusi vya korona baada ya kuidhinishwa chanjo kadhaa, hali ya sintofahamu imeukumba ulimwengu na Sayansi ya utafiti baada ya aina mpya ya virusi vya korona kugunduliwa nchini Uingereza ambayo inaambukiza kwa haraka zaidi ya aina ya kwanza hivyo kutia shaka kuwa hatua zilizopigwa kwenye kupata chanjo zikawa kazi bure!!
Kitaalamu aina hii mpya imetokea baada ya virusi vya korona kubadilika kutoka umbo la awali na kutoa kirusi chenye sehemu za mwili tofauti(new variant). Wataalam wanasema baadhi ya mabadiliko yaliyotokea ni pamoja na kujibadili sehemu inayotumika na kirusi kunasa katika seli ya binadamu, mbaya zaidi ni kuwa chanjo zilizopo zinafanya kazi kwa kuwezesha kinga ya mwili kushambulia sehemu hii ya kirusi inayonasana na seli ya binadamu!! Sasa kwa kubadili umbo hapo itabidi utafiti upya kufanyika kupata chanjo inayoweza kukabili umbo husika!!
Nchi nyingi za Ulaya na sasa India zimezuia usafiri kutoka Uingereza ili kujikinga na aina hii mpya ya virusi vya korona!
Mungu atusaidie sana!
Chanzo: BBC NEWS
Yuti AI ni issue sana uswahilini kuliko yote hayoVVU, KIPINDUPINDU, MALARIA, CANCER=COVID
Natamani zisikuboe, huyu civid mpya ni shidaNyuzi zahivi zinaniboa jamani
Kama kuna ukweli vileNadhan kuna kubwa zaid. covid 19 ilikuwa microphone testing ( mpaka mkubali chanjo)
Yuti AI ni issue sana uswahilini kuliko yote hayo
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]Hili jua siyo mchezo, huezi amini sanitizer yangu ime evaporate yooooote: nadhani sasa niko salama maana hii ni total sanitization
Ndiyo habari ya Dunia kwasasa hii mkuu, vumilia tu na ukizingatia kitu kuitwa janga la Dunia, sasa ukiambiwa kitu flani ni janga maana yake ni kukitangazia vita kitu hicho, mengine yote yanawekwa pending kukabili janga!Yani mwenzenu nikionaga hizi nyuzi za Corona naishiwa pozi kabisa...punguzeni Basi.
Naomba serikali yangu ifunge mdomo covid 19 is dangerous it will eliminate the world. Let us pray silence
Usizisome basi!Yani mwenzenu nikionaga hizi nyuzi za Corona naishiwa pozi kabisa...punguzeni Basi.