Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Ndio last week ilikuwa mwisho jamani
Hongera
Ndio last week ilikuwa mwisho jamani
Etiii mkuu... Wewe unaweza choka ukuni kweliiOhhh kumbe ndio kwanza uko kwenye 20's..?! Omba Mungu akupe maisha marefu maana kuishi kwingi ni kuona mengi!!

Au umekutana na inayonukaHahahahahahaha imenikinai sana aseeee
Hivi kwani mada inataka kila mmoja aelezee hisia zake?!Etiii mkuu... Wewe unaweza choka ukuni kwelii![]()
![]()
Hapana nilikua najaribu kuoanisha tu mkuu...Hivi kwani mada inataka kila mmoja aelezee hisia zake?!
Itakuwa tu ni remix ya hadithi ya sungura na "sizitaki mbichi hizi".....huko sihusiki ..mimi.
. Asante... Sana mtanza--mwenye--nia....kulingana na maneno yako haya it seems you are nearly too uzee sasa.....Ohhh kumbe ndio kwanza uko kwenye 20's..?! Omba Mungu akupe maisha marefu maana kuishi kwingi ni kuona mengi!!