Recent content by Bombardear

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali itupie macho Chuo cha Ualimu Korogwe

    Kwa heshima na taadhima ni maombi yetu/yangu mamlaka zinazohusika kuchukua hatua kwa mambo yanayoendelea hapa chuoni Korogwe kwani tangu Mkuu wa Chuo aliyekuwepo kupandishwa cheo, kumekuwa na hali ya taharuki upande wa chakula. Chakula hakieleweki kwani chakula kinachopikwa ni zaidi ya...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    sasa barca match ntaaangalia
  3. B

    JamiiForums Tanzania Waziri ndalichako fuatilia hawa mwalimu Gunda na kabole wa korogwe chuo cha ualimu

    pamoja na malalamiko ya wanafunzi iwengi lakini bado mkuu anawaachia wanaendeleza unyama wao ngoja tuendeleee kuumia tu waziri analifumbia macho
  4. B

  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri ndalichako fuatilia hawa mwalimu Gunda na kabole wa korogwe chuo cha ualimu

    Waziri wa elimu sayansi na teknolojia kwa heshima na taaadhima tunakuomba ufuatilie utendaji kazi wa waalimu hawa Mwalimu Gunda na Mwalimu kabole waliopo chuo cha ualimu korogwe kwani wametugeuza sisi wanafunzi wa kike watumwa wao wa ngono ukifanya kosa unapewa adhabu kubwa ambayo huwezi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

    U Tutakupa uhaini unamuombea Rais wako na bashite wafe kabla ya lissu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Part 5: TISS Bado safari ngumu

    Unapenda tisha watu wewe ndo huyo mwehu mwenzako anakutuma?! Daaah tiss gani wewe unatumia tecno
  8. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Watu wamejibiwa na ule wimbo wa naniliu daaahhhh bado tuko loko sana
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    Daaah nimepata khasara nilikuwa nimejiandaaa tunywe usiku kucha lkn nimeahirisha
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Nafasi ya semedo angechezeshwa
  11. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili shule ya Sekondari Kizaga wilayani Iramba wahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi

    Hivi hawa ni tofauti na wale wa2, wa kwanza
  12. B

    JamiiForums Tanzania Walimu wawili shule ya Sekondari Kizaga wilayani Iramba wahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi

    Vip umemaliza chuo?! Mzumbe wanasemaje!? Kwanini unaitangaza K za watu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Babu Seya afunga ndoa na Katibu Tawala(DAS) wa Muheza

    Taaarifa zilizotufikia hivi punde huyo mama ameshawishiwa na jiwe kama mpambe na atapewa URAS wa mkoa fulani kwenyr safu mpya 2021
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme mkoa wa Kigoma Serikali iangalie kwa jicho la pekee

    Nasikia mchezo ule wa miaka ile umerudi. Unatoa rushwa mnaletewa upande mliotoa rushwa
Back
Top Bottom