Recent content by Boma

  1. B

    JamiiForums Tanzania UFISADI wa ZADOCK na ofisi ya Meya KIMBISA

    Sina nia ya ku-criticise lakini kwa mambo ya mtazamo tu kama Zadock alianza kwa kupiga picha mitaani na sasa amefikia such a high profile level, then ni mtu aggressive katika maisha na anawekeaza hapa hapa nchini badala ya kupeleka nje kama kina Mkapa, Sumaye, Chenge and others. Watu wa kulaumu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Huyu Mrema aliwekwa na B. Mramba, sasa huyu mramba ambaye ameramba pesa za jasho la watanzania kiufisadi kwanini aiife ti jamani pamoja na mafisadi wengine wote
  3. B

    JamiiForums Tanzania Meremeta Report: Released to the Public (Revised & Free!)

    Mwanakijiji thanks for the report
  4. B

    JamiiForums Tanzania Na mama mkwe naye anataka!

    MAMA mkwe kapenda, kaiomba eti umnyime na kama bado anadai dai kwa sura ya utu uzima, kula kwa sana mpaka achanganyikiwe, maana mpira unachezeka katika kila kiwanja bila shida. tena mpe magoli ya ukakika mpaka awe HOIIIIIIIIIIIIIIIIIII.
  5. B

    JamiiForums Tanzania 50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    [/LIST] Mimi nijuavyo ALEX MASSAWE ni JAMBAZI wa siku nyingi siyo FISADI
  6. B

    JamiiForums Tanzania 50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    Nawaongeza 1. Ali Hassani Mwinyi 2. Dr Mwinyi ( waziri wa ulinzi) 3. John Samwel Malecela 4. Dr Dau wa NSSF 4. Waziri wa fedha wa sasa
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha "One by One"

    i salute you for this. I read maillu's books while at ilboru high school, fom six
  8. B

    JamiiForums Tanzania Membe kuwania urais 2015...

    ...................[/COLOR][/SIZE][/FONT] Waziri Membe anatumia kigezo cha yeye kuwa Mkatoliki kama mtaji wa kisiasa na mbinu hii anaamini ndiyo itakayomnyanyua ili kushinda kiraisi katika uchaguzi ujao ................[FONT=Courier New][SIZE=4][COLOR=Navy] Watanzania kama wewe ambao bado...
  9. B

    JamiiForums Tanzania JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

    kuna umuhimu sana wa kurudisha JKT ambao ni kujenga utaifa, umoja na utamaduni ambao umeporomoka sana baada ya kufuta JKT. Kwa wale amboa tumepitia JKT ukiacha ile karinyekarinye ukafanya uchambuzi "objectively" utaona JKT ilitujenga kwa kutufanya tuje kuwa raia wema na kujiona wote ni ndugu...
  10. B

    JamiiForums Tanzania JK ndani ya Ruaha National Park

    itakuwa kaenda kupumzika kama ambavyo huenda serengeti kila mwisho wa mwaka kupumzika
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete amteua Peter Noni Mkurugenzi mpya TIB!

    Jamani MD mpya wa TIB naona anastahili maana qualifications zake na experience vinanipa imani kwamba anafaa, tupige kelele kwa watu kama David Mattaka, au Mustafa Mkullo.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Sumaye ndani ya Uingereza!

    Jamani kweli wa TZ tutaliwa mpaka tone la damu ya mwisho SUMAYE NI MMOJA WA MAFISADI WAKUBWA enzi ya MKAPA, lakini ndo hivyo anatanua kwa kodi yetu ma hela ya UFISADI kafika kwa kuinvest anakojua
  13. B

    JamiiForums Tanzania Cheche: Ishara kutoka Magharibi

    mbona mimi najaribu kufungua file lakini napata message kuwa file limeondolewa and cannot be repaired
  14. B

    JamiiForums Tanzania Jedwali la RA: Nani hayumo?

    nafanya katika nafasi yangu mengi tu, na sina huo uwoga kuliuonao wa kondoo maana kwa tabia hiyo ya kuogapa kuandika eti uta-pm wakati hapa jf tunasema "we dare to talk openly" hivyo kama huwezi kakae jikoni ukapike
  15. B

    JamiiForums Tanzania Jedwali la RA: Nani hayumo?

    HUU NDIYO 'UKONDOO NA OWOGA' badala ya kutuandikia hapo enaeema its too hot. kwa uwoga wako unogoka kuandika je unaweza kuwa na uwezo kusimmama na kueleza baya la mtu, unaopa nini, halafu unajifanya wewe ni mkosoa mabaya katika jamii, hovyo kABISA yaani wewe nimekuwa HUFAIII KABISA KATIKA...
Back
Top Bottom