Cheche: Ishara kutoka Magharibi

Cheche: Ishara kutoka Magharibi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,175
Reaction score
43,934
toleola39.jpg

Mojawapo ya nakala ambazo ningependekeza ukishadownload toa nakala anangalau mbili na umpe mtu yeyote (siyo mfanyakazi mwingine mwenye internet) ambaye hana mtandao mtaani, barabarani au sokoni. Mpatie bure tu na mwache asome yeye mwenyewe! Na yeyote atakayefanya hivyo naomba utuambie ili tujue kuwa cheche zinaenea taratibu!

Hii ndiyo sababu tunazo nakala moja ya rangi nyingi (colored) kwa kujisomea kwenye mtandao na nakala ya pili katika rangi nyeusi na nyeupe kwa kuchapisha. Ukiweza kuchapisha ya rangi ni bora zaidi!

lengo letu ni kugusa fikra!

M.M.
 
Attachments

mbona mimi najaribu kufungua file lakini napata message kuwa file limeondolewa and cannot be repaired
 
Mojawapo ya nakala ambazo ningependekeza ukishadownload toa nakala anangalau mbili na umpe mtu yeyote (siyo mfanyakazi mwingine mwenye internet) ambaye hana mtandao mtaani, barabarani au sokoni. Mpatie bure tu na mwache asome yeye mwenyewe! Na yeyote atakayefanya hivyo naomba utuambie ili tujue kuwa cheche zinaenea taratibu!

Hii ndiyo sababu tunazo nakala moja ya rangi nyingi (colored) kwa kujisomea kwenye mtandao na nakala ya pili katika rangi nyeusi na nyeupe kwa kuchapisha. Ukiweza kuchapisha ya rangi ni bora zaidi!

lengo letu ni kugusa fikra!

M.M.

Things that make you go HMMM???

arsenio-hall.jpg
 
Nakukubaliii.......sana MKJJ...na Cheche zako.
 
Yaani CCM wameshikwa pabaya, hiyo ya Busanda hawatoki labda wahamishie UWT woote kule kuiba kura. Ikiwezekana mkuu, Cheche ianze kuwa mitaani kama gazeti la kawaida watanzania wengi mno watahitaji kupata mawazo ya wanamapinduzi halisi wa kizazi kipya, wenye uchungu na nchi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom