Recent content by Bolt22

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mnaotaka kuingiza bidhaa nchini kokotoo la TRA ndio hili

    Kwa ufupi hii ni kumzofisha kabisa mfanyabiashara
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Nlifilisika kabisa kipind cha korona biashara ilikuwa ngumu had nikauza frame kkoo, mke akaniacha , wana na baadhi ya ndugu walinicheka asa ivi nimerudi kwenye form hao hao wanaomba msaada nawazoom tu, uyo mwanamke anajifanya mwema asa ivi kunishaur sina kinyongo na mtu ila nimewajua vizur yupi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Temeke: Ndoa huvunjika kila siku

    Nawashaur vijana waache kuoa mashangazi
  4. B

    JamiiForums Tanzania Afisa Magereza anapita ndani mwendokasi bila tiketi?

    Yupo kazini tulia
  5. B

    JamiiForums Tanzania Wiki ya vicheko kwa wahitimu: Laiti wangelijua kuanzia wiki ijayo mtaani itakuwaje

    Acha upimbi ww maisha ya wenzio yanakuumiza nn
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari unapotoa pesa kwenye ATM, na kwa wakala, tapeli akamatwa na kadi 23 za benki

    Nmb had m5 unatoa kwa wakala kwa siku
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hotel ya Kitalii ya Snowcrest Arusha yafilisiwa

    Sana
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Arusha wafunga Maduka ,waandamana ,kisa Machinga

    Ni ushauri wa kijinga anaongea kama amekatika kichwa , kwa ufupi alewi anacho ongea wala si mfanya biashata uyu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hotel ya Kitalii ya Snowcrest Arusha yafilisiwa

    Daah hotel yng pendwa ya kunywa ghahawa nikiwa om , bad news .
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unaweza oa ambaye hana mtoto ila hana upendo na hao ndugu zako wakapaona kwako kama sehem ya hatar sana , hata kufika kukutembelea wakashindwa kuwa na mtoto kwa uyo mwanamke si tatizo kabisa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika nimeamini unapotaka kuoa epuka michepuko mipya, inaweza kukusababisha ukabadili mawazo ya kumuoa uliempangilia.

    Kula kwanza ujana uyo utakae mwoa utamtesa bure hairisha had utakapo kuwa tayar, na unaweza sababisha makubwa ndan ya iyo ndoa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara changamkieni fursa hii ya kibiashara Dubai Expo 2020

    Jambo jema Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa mchumba wa MC pilipili kataeni anayofanyiwa mtoto wenu

    Si rahis kufurahishwa na kila mtu ayo ni mambo yake binafs na maisha yake achana nae. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

    Kama unauwezo wa kufanya biashara komaa tu na biashara ila shule haina muda maalum wa kusoma ila kutafuta kuna umri ukifika ndio bas tena , ila kama huwez biashara kasome mambo ya kilimo. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nataka Dar es Salaam liwe Jiji la mchana na usiku

    Biashara nying zimekufa wachina wamekimbilia Uganda na Msumbiji, soko la vitenge nalo limekufa kwa sasa vitenge ni bei rahis Zambia kuliko Tz wagen hawaji tena kununua kwetu, kanda ya ziwa yote wamehamia uganda sababu kule vitu ni bei rahis na hii yote ni sababu ya kuweka kod kubwa za kutoa...
Back
Top Bottom