Nashauri NDOA zisifanyike tu...
NDOA imara ni msingi wa maendeleo katika taifa,,,,,ikiwa tofauti na hivyo ni msingi wa Umasikini katika taifa....Malezi mabovu na tabia za kishenzi huanzia katika Familia....
Vijana wakiweza kupiga bao mbili za kuunganisha tayari wanajiona wanafaa kuoa,,,wengine akishakuwa na Godoro ghetto na jiko la gesi anaona tayari anaweza chukua majukumu.,,,Na Mabinti nao wanaolewa ili wafanye sherehe,,,ikishapita wanaona hamna Jipya walichotaka wameshapata.... n.k..
Na Mapenzi ni jambo halishauriki,,,ni Freestyle,,,kila mtu anacheza kadri ya shibe yake inavyomruhusu...