Recent content by Bollo Yang

  1. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Their hotline ni hii: +255747536696, wacheki watakupa maelekezo yote.
  2. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

    Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. ======== Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed Chico amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salam. Kwa mujibu wa msemaji wa familia Bw. Awadhi Chico...
  3. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako Njoo Tumaini University Dar uone uozo

    Wanaofanya admission ni TCU, na sio Tumaini. Kajipange upya na uongo wako.
  4. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina

    Habari wandugu, Natafuta Mtanzania anaeweza kuongea kichina kwa ufasaha, kuna kazi (Temporary) ya kufanya. Ambae anahisi anaweza tafadhali anicheki: 0798 020 176.
  5. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Financial Act, 2016

    Uliza chochote kuhusu Financial Act ya 2016.
  6. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Ni dakika chache zilizopita, amefariki akiwa kwenye matibabu India. Marehemu alizaliwa mwaka mwaka 19, Juni, 1959
  7. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Ni vyema sasa kujua yaliyojiri Stanbinc Bank

    T
  8. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Miss World: Miss Tanzania Happiness Watimanywa atinga Top 10

    Msauz kashinda
  9. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Miss World: Miss Tanzania Happiness Watimanywa atinga Top 10

    Sasa hivi kuna burudan kidogo jamaa hawa wanaimba. Kwa kifupi Mtanzania kashatolewa.
  10. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Miss World: Miss Tanzania Happiness Watimanywa atinga Top 10

    Ntaendelea kuwa update nachek Hapa kwenye TV
  11. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Miss World: Miss Tanzania Happiness Watimanywa atinga Top 10

    Top 25 kutoka africa ndo hao, Ghana, South Sudan, South Africa na Kenya
  12. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania 'Vijimambo vya Mliberia'-Ameaga Kwao

    Katusumbua sana Simba jana huyu jamaa, kwa kifupi jamaa ni fundi mnoo
  13. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Nashauri waziri Magufuli ashtakiwe

    We jamaa unapenda sana kuandika habari huku ukiwa na mihemko.
  14. Bollo Yang

    JamiiForums Tanzania Matokeo:Law School of Tanzania

    Waliofaulu ni 41 kati ya 270. So jamaa hajakosea saaana
Back
Top Bottom