Waziri Ndalichako Njoo Tumaini University Dar uone uozo

Kanyunyu

JF-Expert Member
May 2, 2012
319
500
Kwako mheshimiwa waziri wa Elimu

Njoo chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es salaam uone digrii za form four zinazotolewa Chuoni hapa hasa course ya Bachelor of arts and mass communication

form four failure, hana form six, hana diploma eti anasoma degree ya kwanza? Amepitia miujiza gani kufikia degree?

Waziri njoo utumbue haya majipu yameiva vizuri Sana, Mambo yanaendelea as usual
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,727
2,000
Kwako mheshimiwa waziri wa Elimu

Njoo chuo kikuu cha Tumaini tawi la Dar es salaam uone digrii za form four zinazotolewa Chuoni hapa hasa course ya Bachelor of arts and mass communication

form four failure, hana form six, hana diploma eti anasoma degree ya kwanza? Amepitia miujiza gani kufikia degree?

Waziri njoo utumbue haya majipu yameiva vizuri Sana, Mambo yanaendelea as usual
Huu unafki sijui utaishi lini. Unayajua masharti ya kujiunga na Elimu ya Juu wewe an.dazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom