Sio kwa ubaya, jmn hivi mtu akiwa mahabusu harusiwi kuchana nywele au kunyoa nywele
Baba wa watu mbona Wana mwacha awe hivyo, ........
Mimi sija penda 😳
Huyu si ndiye aliyefukuzwa chadema sababu ya ushawa wa kuwapelekea umbea ccm , nakutoa Siri za vyama vya upinzani.......
Apeleke ujinga wake hukooo.......!!!
Kila mtu na mnyonge wake......hayo makanisa hayawezi yapo Dunia nzima, la Gwajima lipo TZ tu, wanacho weza kufanya ni kudili na huyo huyo mlopokaji basi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.