Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 41,716
- 72,545
Hii ni ChaiMaaskari Magereza walioko nyuma niliokaa nao karibu wamekimbilia nje kucheka.
Hii ni ChaiMaaskari Magereza walioko nyuma niliokaa nao karibu wamekimbilia nje kucheka.
Ngoja nijaribu kudodosa haya uliyoandika kwenye bandiko lako lote: Hivi inawezekana hata Samia mwenyewe anafuata tu maelekezo toka juu?Tuukatae mfumo huu , mimi naukataa leo kesho na hata kesho kutwa.
Lilivyo taahira linaweza kuagiza huyu mama Afande atumbuliwe!Kuna mambo huwa hayazuiliki. Yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.
Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.
Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.
View attachment 3634933
Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Kuna mambo huwa hayazuiliki. Yanakuja tu au yanatokea tu kiasili.
Mapema leo wakati Mchungaji Msigwa anasalimiana na Mheshimiwa Lissu, maafande wa Magereza walishindwa kuzuia tabasamu kwenye nyuso zao.
Achana na maneno yangu. Picha huongea maneno zaidi ya elfu. Jionee mwenyewe.
View attachment 3634933
Naamini hao maafande kisirisiri wanamkubali sana Lissu.
Leo umeonge kama una akiliNgoja nijaribu kudodosa haya uliyoandika kwenye bandiko lako lote: Hivi inawezekana hata Samia mwenyewe anafuata tu maelekezo toka juu?
Ni kama nimeuliza swali ambalo kila siku linajibiwa humu JF na kwingineko.
Lakini kweli hilo ndilo jibu sahihi? Kwamba hata Samia anafuata maelekezo tu toka juu?
Kumbukumbu yangu ni kwamba hii ni picha ya kwanza ya aina yake, tokea Lissu alipowekwa gerezani.Ni Muhimu kuwa cautious na kila hatua kila tukio
Ni Style Tu mbona ni nzuri tuSio kwa ubaya, jmn hivi mtu akiwa mahabusu harusiwi kuchana nywele au kunyoa nywele
Baba wa watu mbona Wana mwacha awe hivyo, ........
Mimi sija penda 😳
Nimeazima za kwako, umesahau?Leo umeonge kama una akili
View: https://youtu.be/5jp-L8sr0uY?si=Bm7xt5MBKs9unxOo
Absolutely, imekaa vizuri..
Halafu yule dada askari magereza wa kulia juu, moyo wake unafarijika sana..
Namsikitikia kuwa, pengine Abdul na mama yake Samia wakaamuru atekwe na kupotezwa kwa kosa la kutabasamu🤔🤔🤔🤔
Ni jambo jemaNimeazima za kwako, umesahau?
Na ilivyo bahati mbaya, ulizobaki nazo baada ya kuazima hizi nilizotumia hapa; ukawa umebaki huna kitu kichwani!
I beg your pardon!Absolutely, imekaa vizuri
Na bado hujaelewa, sasa unataka uelezwe vipi ndipo uelewe kilichoandikwa hapo!Ni jambo jema
Kuwa debe tupu Kuna kelele nyingi sana jaza unga hata wa kuazima kupunguza kero
Shoga zako ndio wanakuekewaNa bado hujaelewa, sasa unataka uelezwe vipi ndipo uelewe kilichoandikwa hapo!
Samia hawezi kuvumilia kukaa na watu waliomzidi akiliMi kinacho niuma Mungu ametupa mtu makini kama Lissu mwenye sifa kibao tunashindwa kumtumia dah!
Naam, mfumo wa maelekezo toka juu ni kapu linalobeba bidhaa safi na chafu.Ngoja nijaribu kudodosa haya uliyoandika kwenye bandiko lako lote: Hivi inawezekana hata Samia mwenyewe anafuata tu maelekezo toka juu?
Ni kama nimeuliza swali ambalo kila siku linajibiwa humu JF na kwingineko.
Lakini kweli hilo ndilo jibu sahihi? Kwamba hata Samia anafuata maelekezo tu toka juu?