Recent content by boit

  1. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuongozwa na rais wasiomtaka 2015?

    Hatari saa ccm
  2. B

    JamiiForums Tanzania Taarifa kuhusu vijana waliohitimu mafunzo ya JKT kwa kujitolea na kudai kuajiriwa na Serikali

    walio shiba hawakumbuki walio na njaa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

    Ssali tupu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ndani ya mkasi EATV

    wewe unaweza peleka mtoto wako shule za kata?lait ungejua ccm wanachokifanya kwenye shule hizo na hosp za serikali ndio ungeichukia ccm.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mnyika na Mdee wafanya Makubwa

    Ukweri upinzani huchochea maendeleo tatizo serikali haitekelezi kwa wakati maeneo ya upinzani
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jukwaa la Wakristo lapinga Mahakama ya Kadhi kujadiliwa bungeni

    Tatizo waislamu wanataka mahakama ya kadhi igharamiwe na serikali jambo ambalo halikubaliki.Waanzishe wenyewe na wagharamie wenyewe na iwahukumu wenyewe.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuingiza TV chanel na radio kwenye king'amuzi kipya cha zuku

    unatumia nini kutafuta signal
  8. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuingiza TV chanel na radio kwenye king'amuzi kipya cha zuku

    Hapo Onana na fund akusetie
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nimetokwa na machozi kujiuzulu kwa Profesa Muhongo

    Kuweni wakweli acheni mapenzi ya simba na yanga.Tunaitaji taifa letu lisonge mbele,wakati umefika wasomi watumikie taaluma zao ili tutoke tulipo kwama na siasa za kifisadi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Escrow Scandal: Prof Sospeter Muhongo (Minister for Energy and Minerals) resigns

    Tunataka pesa zetu kujiudhulu haisaidii,tena mwanasheria mkuu afikishwe mahakamani kwa kutowajibika.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Prof. Muhongo: Mengi ni mtu mwenye Nguvu/Ushawishi zaidi Tanzania

    Hacheni fikra ndogo.jiulizeni nsfasi ya muhongo kitaaluma inakuaje aingie kwenye siasa?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Jaji: Wanaume ruksa kwenda haja ndogo wakiwa wamesimama wima

    Je wenzangu huwa mnachuchumaa?
  13. B

    JamiiForums Tanzania UKAWA wabuni mbinu mpya ya urais 2015

    Tulianza na MUNGU,tuombe tumalize na MUNGU. UKAWA Oyeeeeee
  14. B

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mitandao ya Jamii zikiwemo blogs zipigwe marufuku!!

    Hajui kama Dunia ni kijiji?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kumkwepa mke wa mtu kama anakung'ang'ania kimapenzi

    Unatafuta ushauri,ni kwamba mgonge alafu kaakimya kabisa.Maana kama hujagonga atatafuta sababu na kukusingizia unamtaka ila yeye hataki ,be care ndugu
Back
Top Bottom