Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
Hajui kumun'unya maneno, safi sana, akiwa rais tutapiga hatuaGavana wa bot alipokea barua kutoka magogon aruhusu pesa kutoka,pia kuna jaji mkuu kapata mgawo wa m.500,huyu jamaa ni hatari nimependa alivyojibu kuhusu zitto