Recent content by bobycasablanca

  1. B

    NIDA wanauza nchi yetu kweupe kabisa

    Hata wageni wanapewa vitambulisho vya taifa ila vina utofauti na vya mwananchi wa kawaida na wakimbizi wanaoishi nchini kihalali nao wanapewa pia ila vina tofautiana
  2. B

    Hotuba ya mwisho wa mwaka ya mhe. Peter msigwa, mb iringa mjini.

    Duh..moja ya hotuba bora kabisa kuwahi kutolewa sio tu hapa nchin bali hata duniani kote
  3. B

    Kama unajua kichina

    Habari zenu kama kuna mtu anatafuta ajira na ana fahamu lugha ya kichina tafadhali anitumie sms kwenye email joe.sam99@yahoo.com Ili niweze kumlink na watu wanaehitaji mkalimani Yeye atakuwa anafanya kazi ya ukalimani na mshahara hautapungua dola 1000 Kama kweli unahitaji kazi na unafaham hio...
  4. B

    Simuelewi mpenzi wangu

    Kwa maelezo yako unaonyesha unampiga sn mizinga jikwamue kiuchumi kwanza then hayo ya mapenz yatafuata
  5. B

    Msaada: Natafuta nyumba ya kupanga

    Yenye vyumba vngap na bei yako?
  6. B

    Tathimini: Majimbo na kata zinazoongozwa na CHADEMA wamepata maendeleo gani?

    Hao walioongoza kwa miaka 50 na kodi wanakusanya wameleta maendeleo gani
  7. B

    M4C-OPD jijini Mwanza katika Picha (Feb 01, 2014)

    Tubadilike kila siku ni mwanza arusha mbeya mjin na iringa mjin, tutawachosha watu, shambulien morogoro katavi njombe lind mtwara dodoma shnyanga rukwa katav
  8. B

    Msaada kutoka kwa wanasheria au yeyote anae litambua hili:"NINI ITATOKEA KATIKA HILI?"

    Uyo anayeuza aache ushamba wa kuandika kila post hio biashara yake kuna kitengo cha biashara andika huko watu wataona unaofanya ni upuuzi unaofanya
  9. B

    Picha,Mwigulu Nchemba afunika Ufunguzi wa kampeni bagamoyo,Haijawahi tokea

    Naona wanafunzi wa primary kibao wamesaidia kujaza
  10. B

    Barabara ya Strabarg: Kielelezo cha ujinga wetu!

    Kweli kaka mi nlishangaa sana kuona heti hii ndo mbadala wa kupunguza foleni kweli uwezo wetu wa kufikir unapungua kila siku
  11. B

    Hongera HALIMA MDEE umeonyesha ukomavu

    Yeye anashndwa kutenganisha urafiki na ukwel kwasababu ya urafiki wake nazi zito hongera kubwa kwa mnyika kuweka urafiki pembeni na kusimamia ukweli kama zito ni msaliti afukuzwe tu hatutaki masnitch
  12. B

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba ya chumba kimoja chenye master bedroom, sebule, jiko, dining hall, parking, inapangishwa maeneo ya makumbusho na ni nyumba nzuri sana kwano bado mpya Bei yake ni shilingi 300,000/= kwa mwezi Ukitaka kuiona wasiliana nami kwa sim 0716 850 695
  13. B

    Chumba cha kupanga kizuri

    chumba cha kupanga kinapangishwa kipo makumbusho ni master-room, sebule,dining room, na jiko na kina ac Bei ni laki mbili na nusu tsh (250,000) kwa mwezi Ukitaka kukiona wasiliana nami kwa simu 0716 850 695
  14. B

    Nyumba inapangishwa

    Nyumba aina ya apartment inapangishwa iko mikocheni, ina vitu vyote vya ndani, yani full furnished, e.g sofa, t.v ,dstv, fridge, na vingine vyote, ina vyumba viwili vyote mastaroom, sebule, jiko, parking kubwa, ulinzi, maji ya uhakika, standby generator, Bei kwa mwezi ni dola 1600 na unaweza...
  15. B

    Tukutane hapa wapenzi wa Tamthilia za Phillipine na Mexico

    Todo sobre camila, dah ndo ilikuwa ya kwangu ya kwanza kuifuatilia na niliipenda sana
Back
Top Bottom