miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Mkuu unasubiria filimbi au honi.? Ushaachwa sepa tafuta ustarabu meingine
Amepiga cm anasema anakuja kesho, so sielewi nikaonane naye au nimpotezee
wewe nenda katoe papuchi tena odometer yako izidi kusoma; nyie wadada saa nyingine mnakuwa kama misukule vileAmepiga cm anasema anakuja kesho, so sielewi nikaonane naye au nimpotezee
Nimelipenda sana jina lakoNina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf
Amepiga cm anasema anakuja kesho, so sielewi nikaonane naye au nimpotezee
Nina mpnz tupo kwenye mahusiano yapata miaka 3 , anaishi Znz me dar, amebadilika mno tangu January ndo tulionana toka hapo nikimwambia njoo dar Mara kazi nyingi, Mara sina nauli,Mara nasubir likizo , ukiomba Pesa anasema atatuma ila ndo mtolee hiyo ,me nimechoka sielewi nifanyeje ,ukimpigia cm anasema yupo usingizin tutaongea kesho, akikuta call anitafuti mpaka nimtafute ,jamani naomba ushauri wenu wanajf
Mmmh, hata ndege ya Ethiopia ilitua kwenye kiwanja kidoogo cha Arusha baada ya kuona 'mambo sio mazuri' KIA. Nakushauri utafute kiwanja kingine cha kutua kabla mafuta hayajaisha kwenye ndege yako!
Anaejifanya hakuoni nawe jifanye humjui. Zinduka mpendwa