Kagame,and Museveni,they're good at nothing these bloody hungry they should be abandoned in the cold. Fighting proxy war with our soldiers. Kuendelea kuwakumbatia hawa manyangau ni kutokuwa makini. Nikama tunacheza mchezo wa kuigiza. Ndugu zetu wameuwawa na risasi za warwanda.
Maraisi watajwa kweli ni wa ajabu ajabu. Kagame is a dictator nd a hypocrite,bloody hungry. Museveni nae ni dictator mzuri tu. Kenyatta anatakiwa kwenda ICC. Hivi vichwa vina walakini .
Nafikiri haijarishi mababuzetu waliipigania uhuru wa nchi hii walikuwa ni wa dini gani au kabila fulani . Kwa maono yako walifanya hivyo kwasababu tu walikuwa waisilamu? I don't think so. Your argument holds no substance. Nivizuri tuwakumbuke na kuwaenzi ipasavyo.
Mama Joe tuwekee majina ya hizo dawa feki . Haya mambo yanaturudisha sana nyuma sisi wakulima na Tanzania kwa ujumla . Wahusika wa chukuliwe hatua kali.
Naomba ufafanuzi nduguzanguni ,Je kuku akichanjwa ndiu kwa mara ya pili kuna tatizo? Nauliza hili swali kwasababu nimenunua kuku wa mbegu mitetea na majogoo kutoka kwa wakulima wenzangu sasa sina uhakika kama walipewa hii chanjo muhimu ya ndui. Je ni vema niwachanje wote tena?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.