Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

culboy

JF-Expert Member
Nov 23, 2011
526
47
Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona tena ugonjwa kwako chanjo kwanza 1)newcastle baada ya siku 7(2)siku ya 14 gomboro(3)siku ya 21 Newcastle(4) siku ya 28Gomboro hutoona kuku wako wanakufa ovyo tena ukizingatia hizi chanjo mjasiriamali
 
Kwa hapa kitomari kwakweli kwa elimu hii wajasiriamali watafika mbali tunashkuru kaka
 
Natumai wewe kama mfugaji ulisha kutana na ugonjwa huu gomboro kuku kushusha mabawa na kukonda ya pili kideri kuku hushusha mabawa na kukonda zingatia chanjo hizi wakati wakiwa vifaranga hutaona tena ugonjwa kwako chanjo kwanza 1)newcastle baada ya siku 7(2)siku ya 14 gomboro(3)siku ya 21 Newcastle(4) siku ya 28Gomboro hutoona kuku wako wanakufa ovyo tena ukizingatia hizi chanjo mjasiriamali

Kitumari wewe ni mfigaji mahiri sana lakini ungetuambia kidogo hao kuku ni kienyeji au kisasa
 
Tahadhali kwa wafugaji wa kuku, TFDA wamegundua chanjo fake zikizalishwa na kiwanda cha chanjo Kibaha. Soma Guardian ya leo IPP website
 
Mama Joe tuwekee majina ya hizo dawa feki . Haya mambo yanaturudisha sana nyuma sisi wakulima na Tanzania kwa ujumla . Wahusika wa chukuliwe hatua kali.
 
Sorry nilikuwa mbali, Chanjo ni ya ugonjwa wa Newcastle na kiwanda ni cha Kibaha ambacho kilipewa kibali na kinatengeneza zingine nzuri tu ajabu iliripotiwa zimekamatwa Kigamboni na ku trace zimetengenezwa na hicho hicho kiwanda ingawa sasa walisema wanasimamisha ila tuwe waangalifu maana huu ugonjwa....
 
Mama Joe tuwekee majina ya hizo dawa feki . Haya mambo yanaturudisha sana nyuma sisi wakulima na Tanzania kwa ujumla . Wahusika wa chukuliwe hatua kali.

Nadhani ni ile ya kudondoshea Machoni iliniulia kuku sana.
 
Back
Top Bottom