Kwa situation iliyopo kwenye akaunti yako, kwa kuwa unasema unayo password, namna pekee ya kulog in ni kutumia kifaa ambacho umewahi kukitumia kulog in hapo mwanzo, na kuwa kwenye location ambayo pia umewahi kulog in ukiwapo.
Hapo utaweza just kusign in na kuitumia ila hutoweza kubadilisha...
Umeuliza vitu vya kufikirisha sana mkuu. Ni kweli kabla ya kuivunja taasisi kama hii ni muhimu kujiuliza hayo mambo ili kupata mwendelezo wa kazi za kitaasisi.
Ila nadhan wafanye kama 1964 ambapo jeshi la Tanganyika rifles lilivunjwa na kuundwa JWTZ.
Kuna sheria wameivunja?
Hiyo sio mali ya umma kwamba haitakiwi kuwa na upendeleo. Adhabu unayoweza kuwapa ni kususia kuangalia channel zao kama unaweza.
Ningeiona barua ningeamini coz sitaki kukubali kama Jemedari amekua mpuuzi kiasi hiki.
Pia angeanisha kwa huo udhamini wa timj nyingi nani ni mnufaika na kwa namna gani?
1. Miaka kadhaa nyuma Sportpesa walidhamini simba na yanga, pia nadhani bia ya kilimanjaro ilidhamini simba na yanga, nani...
Ushauru wangu.
Huyo mama mkwe ni tatizo. Ili kumuepuka
Kutana na binti, mkafanye uchunguzi kuhusu mifumo yenu ya uzazi wote wawili. Kisha kama hamna tatizo muoe ili uwe na full control of her coz hata mama yake itabidi asiwe na maamuzi kwa binti ambaye ameshaolewa.
Kuhusu hormonal imbalance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.