Recent content by Bney

  1. B

    Trump aendelea kujitutumua kwa kuwashambulia wapinzani wake waliopiga kura ya yeye kushtakiwa ili aondolewe madarakani

    Mbaya au nzuri hao wote waliopiga kura ya kutokua na iman na trump n wabagux so trump 4eva
  2. B

    Geita, Chato: Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, kutua nchini Tanzania Kumtembelea rais Magufuli

    Kaona mwenzake kapewa tausi na yeye anataka ata simbilisi😏😏
  3. B

    Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

    Mbona haina maana topic yako bro au swala la kiki we hulifanyi nn okay kama hujui nini maana ya kiki usinge andika hii thread which means unatk kik attention [emoji12] [emoji12] Acha ujinga tafuta hela watu wanafanya vitu vng kufany uchum wao ubalance we unaita kiki by the way ile ni kaz yake so...
  4. B

    Naomba mnifahamishe maujanja tofauti katika simu

    Yangu ilikuwa S III saiv nokia ya tochi
  5. B

    Aliewahi kufanya trade kwenye Dark net ..

    unatak kununua nn ndugu mpk huko kote hahahaha nadhani kwa tz yetu komaa na kupatana au kaymu
  6. B

    Phone number generator (PNG) - by bl4ckbo7

    Some people are here kwa lengo la kuangusha watu hata kwakile kidogo au cha kawaida walichokifanya but u, ur the best Mam hii project ikipata devlpmnt its massive [emoji106] [emoji106] [emoji106]
  7. B

    Msaada wa Sim Nzuri ya laki mbili Wakuu

    Njoo nikuuzie yangu S III
  8. B

    TATIZO LA WIFI KWENYE LENOVO Thinkpad T420

    Habari za muda wapendwa kumputer yangu haidisplay option ya wifi hata ninapowasha wifi ila mwanzoni nilikuwa natumia kama kawaida wireless naomba msaada kwa wataalam.
  9. B

    Naomba msaada wa neno hack na hacker ni mtu wa aina gani?

    Wewe kila kitu una search mtandao au wanao jadiri hapa mitandaoni hayapo au hayo ya mitandaoni yanatoka wapi kama haya andikw na watu na watu si ndio hawa wa JF acha ushamba
  10. B

    Hivi Prof. Jay kwanini tu asiache muziki?

    We jamaa una matatizo yako binafsi unafikiri kuna mjinga wa kukuunga mkono kwa mada kama hii sahihisha kwanza herufi zako kisha anza kumkosoa prof j
  11. B

    Nawezaje kurudisha WhatsApp ile ya zamani?

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] Ok.
Back
Top Bottom