Recent content by BMW G POWER

  1. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamjibu Magufuli kuhusu kutofanya siasa, wasema wataendelea kwa kuwa katiba inawaruhusu

    Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime
  2. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania Wapi garage nzuri ya BMW cars in Dar

    Wadau nimehamia dar kutokea Arusha, ningependa kuelekezwa garage nzuri special kwa germany car especially BMW hapa dar ambayo nitaweza kufanya service na matengenezo ya gari Shukrani
  3. BMW G POWER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenikuta leo, wanawake usiwaambie jambo lolote hata kama ni baya

    Dah aibu sana
  4. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania UPDATES: The UK has voted by 52% to 48% to leave the European Union

    Mkuu ya kweli hayo?
  5. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania Gari ya kiongozi haizimwi ili kutunza Ubaridi

    Hahahahahaha huyo mdau ajilaumu yeye kutokuwa kwny system ya chama tawala na uongozi wa juu serikalini
  6. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania Kuna 'vigari' mwanaume hutakiwi kuendesha by the way

    Bmw beast
  7. BMW G POWER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

    Dah pole sana vunja mahusiano haraka mchukue mwanao songa mbele na maisha. Asirudi tena nyumbani mwambie abaki huko huko dar
  8. BMW G POWER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaribu leo, mke wako hatakusaliti kamwe

    Kazi ya kanisa
  9. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania TANZIA: William Malecela afiwa na mama yake mzazi

    R.I.P
  10. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania Zijue kampuni kubwa za magari duniani na nchi zinazozimiliki

    Mercedes Benz - Germany BMW - Germany VW - Germany Audi - Germany Ferari - Italia Buggati Veroin - Germany Posche - Lamborgin - Italia Meserati - Royce rolls - England & Germany Hammer - Usa Cardilac - Usa Chevrolet - Usa Lincolin - Usa Bently - Usa
  11. BMW G POWER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtu kupenda kuishi maisha yaliyo juu ya uwezo wake

    Kama mtu amekopa gari ana uwezo wa kurejesha mkopo kutokana na kazi au biashara yake its none of ur biziness. Mo dewji anakopa pesa ki Kuendeleza viwanda vyake unashangaa nn sasa mtu kukopa pesa kwa ajili ya kuboresha maisha yake na kufukia ndoto za kuwa na maisha mazuri. Nakushauri wewe...
  12. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania BMW Mini cooper

    Mkuu usingalie Fob price peke yale angalia ushuru TRA mini cooper ni gari za maika ya karibuni latest ushuru wake uko juu. Ni gari nzuri sana kwa sisi wamiliki wa BMW nakuahidi hujatujia kumili bimmer its a monister power, luxury and speed.
  13. BMW G POWER

    JamiiForums Tanzania Zungu: Miamala ya M-Pesa kwa mwaka ni trilioni 50, wananchi tulipe kodi tuache kulia

    Poor advice. Kuna pesa nyingi sana zaidi ya hizo za wabunge kiinua mgongo. Kuna madini kodi hazikusanywi kama inavyotakiwa, vitalu vya uwindaji wanyama wanawindwa kwa bei ya kutupwa, ufisadi wa kutisha kwny uuziji wa vitalu, makusanyo hafifu mazao ya baharini etc
  14. BMW G POWER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sina bahati na rangi nyeusi, kila siku Mhindi, Mwarabu au Mzungu au ni hii kazi ninayoifanya?

    Umalaya unakusumbua
Back
Top Bottom