OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,045
- 114,496
Mdau ananihoji kwanini mtu akipata cheo tu mfano uwaziri,ukurugenzi,urais,ukuu wa mkoa nk,ndani ya muda mfupi anatakata hata kama alikuwa na sura ngumu?
Nimemwambia pamoja na sababu zingine lakini afahamu kwamba magari ya viongozi huwa hayazimwi ovyo ili kutunza ubaridi wa AC.
Gari inaweza kukaa hata saa bila kuzimwa ikimtunzia Mkuu kaubaridi akitoka kikaoni au lunch asipatwe na joto!! Kwa hiyo atambue kuwa pepo ipo hapa hapa duniani na yeye jukumu lake ni kupiga kura tu!!
Kwa hiyo wana JF ambao hamkuwa mnajua basi mjue