Recent content by Bmsegeju

  1. Bmsegeju

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    yeah, wajua jamaa wanaona kama wanaonewa kimtindo. lakin kuja mijamaa inawasukuma waharibu ili watawalale baadae. kuwafukuza ndugu zetue wa bara sio suluhisho.
  2. Bmsegeju

    Vurugu Zanzibar, makanisa yachomwa moto!

    Kwa kuwa ndugu zetu wazanzibar wameamua kuchoma kanisa kwa kupinga muungano, kuchoma maduka ya WaTZ toka bara na kuwafukuza. Je na sisi huku bara tuanze kuwafukuza wapemba warudi kwao, warejeshe ardhi yote waliyoodhi toka bara? Mdau Tafakari!!!!
  3. Bmsegeju

    Mke wa bosi na bosi wangu!

    jilie vitu vyako uende zako. bosi yawezekena hana uwezo wa kum-do wife wake, so ameona ukimtumia wewe atakuwa kwenye mikono salama kuliko akienda mbali. na kwa taarifa yako, hiyo sio bahati mbaya, jambo hili wao walishalijadili kama wa-ndoa. akili yako iki-charge utachuma vingi kupitia K ya huyo...
  4. Bmsegeju

    Natafuta jimama

    Pole dogo, ila angalia utkuja lelewa na wanaume sasa. wewe shida yako si upate malezi tu, basi kama magari ya kifahari utaendesha, tv flat screen inch 48 utakuwa nayo chumbani kwako, misosi ya heshima itakuwa kitu kidogo kwako kwani utakuwa unapika mwenyewe. lkn mwisho wa yote utakuwa unavaa...
  5. Bmsegeju

    Anajuuta kuchukua mume wa mtu

    Imeshatokea, lkn ukumbushe kuwa sio kina anayekutana kimwili na mwathirika basi naye ameshaathirika. bado kuna nafasi ya mtu kusalimika kama hakutakuwa na michubuko. nadhani uhakika zaidi aende akapime na kama ataambiwa akapime tena baada ya miezi 3 afanye hivyo lkn kwa sasa aache kukutana...
  6. Bmsegeju

    Huyu Mwanaume kama kuna type yake jamini....

    Pole, mjuze rafiki yetu kuwa asihuzunike kwa hilo. Nyota njema huonekana tangu asubh. huyo hakuwa mume wa kweli kwake. na akumbuke ndoa hupangwa na Mungu mwenyewe, hiyo huenda amemuepushia balaa. amshukuru mungu kwa kila jambo, hata kama ni preg, naamini mungu atampa nguvu ya kulea mwanae...
  7. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    usikonde mkuu, ntakujulisha punde nikifanikiwa.
  8. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    Mkwanja sio kipimo cha kuwa na uhusiano bora. kipimo cha utu ni utu.
  9. Bmsegeju

    Would you marry me?

    Wahenga walisema, sikio la kufa halisikii dawa. ktk mazingira ya kawaida, mtu huingia kwenye mahusiano hata kabla hajajiandaa kifikra, mtizamo, malengo na kukabili majukumu ya ndoa ili mradi tu apate mwenza kwa kuwa muda umshamtupa. inapotokea hivi akitokea mtu yeyote akamhakikishia ndoa basi...
  10. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    nadhani mapenzi ya siri ndio yenye amani kuliko. coz ukimwaga mchele kwenye kuku wengi madhara yake ni makubwa.
  11. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    nimefurahi kusikia hivyo davina, nadhani ni mwanzo mzuri. naichie contact zako kwenye PM yangu plz.
  12. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    Mkuu naona umenisoma vibaya, wala sina ngwengwe kama unavyodhani. mtu atakayekuwa tayari nitakwenda naye hospital kupima ili kumhakikishia usalama na mm nihakikishe usalama wangu. naomba nieleweke jamani!!!
  13. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    yeah, hiyo haijakaa njema. si umeona?
  14. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    sasa Digna, ni wapi hujanielewa juu ya uhusiano wa siri? na kujiheshimu maana ni kuwa smart kwenye mahusiano unless unahitaji ufafanuzi zaidi nijulishe.
  15. Bmsegeju

    Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

    Mkuu mbona wanikatisha tamaa?, mm bado nadhani nitampata mmoja mwenye wazo kama langu.
Back
Top Bottom