Anajuuta kuchukua mume wa mtu

Imeshatokea, lkn ukumbushe kuwa sio kina anayekutana kimwili na mwathirika basi naye ameshaathirika. bado kuna nafasi ya mtu kusalimika kama hakutakuwa na michubuko. nadhani uhakika zaidi aende akapime na kama ataambiwa akapime tena baada ya miezi 3 afanye hivyo lkn kwa sasa aache kukutana kimwili na huyo jamaa na mwingine yeyote kuzuia kuambukiza au kuambukizwa. by the way, hata kama ameshaambukizwa akaukubali ukweli, basi maisha yatakwenda mbele.
Nawasilisha hoja!!
 
Aende akapime then ajikubali alivyo basi. Watu wameishi na virusi for more than ten years now na maisha yanaenda. Akijipa stress tena atamuacha mtoto wake mkiwa.
Anyway iwe funzo kwetu kuwa siyo suluhu kukurupuka kwenye relation nyingine kama njia ya kutoa stress.
 
Back
Top Bottom