Wakenya wana kasumba endelevu ya ubaguzi,ubinafsi na kujitukurura!
Acheni hizo bhn njaaa NJAA tu
Mshukuruni Mzungu kwa kuamua kuweka HEADQUARTER Nairobi la sivyo mngekoma nyooo
Mkeo anahofu na gubu la wakwe zake.
Kaa nae chini mweleze nn maono yako ktk hilo
N.B
-mwenye maamuz ya mwsho ktk familia ni baba hivyo ni wajibu wake kukufuata ww ktk maamuzi yako.
Huwaga hawatumii akili hawa sometimes kuwa ngangari bwashekhe
Kwa wale wote wanaotafuta mwalimu gwiji na mbobezi wa kufundisha na mbinu za kifauhulu mitihani niko hapa.
Nafanya kazi za mtu binafs lakini pia nina education centre.(HIGH VISION EDUCATION CENTRE-chanika road)
Mahala popote ndani ya jiji la Dar napatkana.
Kwa mawasiliano na maelezo zaidi
Piga...
Ni mara chache kuona watanzania wanaishi kwa kufuata sheria ama kanuni zilizowekwa ktk jamii.
Naomba msaada ktk hili hivi Mwanafunzi wa chuo kikuu anastahili kulipa nauli kiasi gani ktk daladala????
Msaada please nmechoka kuishi kwa mazoea nataka kufuata sheria ktk kila kipengele cha maisha yangu.
Kosa ni la mzaz wake na sio yy,...
Ukimwacha utakuwa unamwonea bure ndg yangu
#jifunze kusamehe na kusahau mambo yaliyopita ili usonge mbele kwa amani#
Haina haja ya kuomba msamaha,..yaliopita achana nayo angalia ya mbele.
Maisha hayarud nyuma yanaenda mbele ulimtamkia hivyo kwa sababu so jiamini utampata mzuri na mwenye kujali zaidi yake
###JIAMINI and just look forward###
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.