Mwanafunzi wa chuo kikuu anastahili kulipa nauli kiasi gani ktk daladala kisheria???

BMI

Member
Nov 23, 2016
19
13
Ni mara chache kuona watanzania wanaishi kwa kufuata sheria ama kanuni zilizowekwa ktk jamii.

Naomba msaada ktk hili hivi Mwanafunzi wa chuo kikuu anastahili kulipa nauli kiasi gani ktk daladala????

Msaada please nmechoka kuishi kwa mazoea nataka kufuata sheria ktk kila kipengele cha maisha yangu.
 
Back
Top Bottom