Recent content by Blueface

  1. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya ndoto (karibia zote) na maana yake

    Hahaha!upo kama Mimi nimeota ndoto hiyo huwezi amini baada ya kumaliza darasa la saba mwaka 99 hadi Leo hii bado inajirudia.Mara kwa Mara naota nipo chumba cha mtihani lakini nashindwa kumaliza maswali, Mara kalamu inagoma kuandika au nachelewa kufika hadi mda was pepa unaisha.Cha ajabu mitihani...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

    We endelea na uboya wako jamaa atakuja aku-shilole mpaka ushangae!
  3. B

    JamiiForums Tanzania NMB acheni mambo ya kizamani, mnapoteza wateja wengi zama hizi za ushindani

    Kukopa sio dhambi wala siyo jambo la aibu.Matajiri wengi wana mikopo kwenye mabenki, serikali zote duniani zina mikopo na Marekani na utajiri wote ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa kukopa hela ndani na nje ya nchi. Mtu mwenye uelewa mdogo anadhani kukopa ni jambo la aibu au ni dhambi!Kama...
  4. B

    JamiiForums Tanzania NMB acheni mambo ya kizamani, mnapoteza wateja wengi zama hizi za ushindani

    Crdb wanatoa hata kama mshahara haupiti kwao zamani ndiyo walikua na hilo sharti la mshahara kupitia kwao
  5. B

    JamiiForums Tanzania NMB acheni mambo ya kizamani, mnapoteza wateja wengi zama hizi za ushindani

    Nazungumzia mikopo ya wafanyakazi tena wa serikali wenye ajira za kudumu. Kwani hata kama ni Sera si huwa zinabadilishwa kuendana na mazingira ya biashara?Benki zote zilianza na hilo sharti baadae zikaamua kuliondoa wamebakia NMB tu ndo bado wanang'ang'ana nalo
  6. B

    JamiiForums Tanzania NMB acheni mambo ya kizamani, mnapoteza wateja wengi zama hizi za ushindani

    Kama kuna benki yenye kiwango cha chini kwenye ubunifu basi NMB ni moja wapo! Wakati benki zingine zikiwa zimeshaachana na lile sharti la kung'ang'ania mfanyakazi anayetaka mkopo lazima mshahara wake upitie benki yao, NMB wao ndo kwanza wanazidi kusisitiza hilo sharti kama kigezo namba moja...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenye wapenzi mapacha wanaofanana mnawatofautishaje?

    We endeleza makamuzi mkuu!Bahati nzuri kisingizio unacho hata akikufumania poa tu atajua umechanganya!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Sitaacha kuisemea Bulyanhulu hata kama nitawaudhi

    Mkuu inaonekana kwenye somo la kiswahili kipengele cha ufahamu ulifeli sana aisee!Yote hayo aliyoandika muandishi hujaelewa mpaka usubiri comments za wadau?Akipewa mtoto wa shule ya msingi ajibu maswali kutokana na hicho kifungu cha habari hapo juu atapata Marks nyingi kuliko wewe!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa wale introverts, anti social, na shy people maisha yako ya chuo yalikuwaje? Vipi mtaani kukoje?

    Tatizo hamuangalii content mnafocus kwenye minor things!kuchapa kwenye simu ni tofauti kidogo na kwenye kompyuta ambako kuna options nyingi kupangilia kazi yako unayotaka!
  10. B

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Kifo Cha Malcom X na Kufukuzwa kwenye Chama Cha Umoja Wa Waislam (NOI)

    Asante mkuu kwa historia nilikua sijui mengi kuhusu maisha ya Malcolm X
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuombwa kitu na ndugu, jamaa au rafiki akiwa mgonjwa bahati mbaya akafa haujamtimizia?

    Da!Hiyo hali huwa inaumiza sana kila ukikumbuka unaiona picha ya marehemu inakujia kichwani
  12. B

    JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kuombwa kitu na ndugu, jamaa au rafiki akiwa mgonjwa bahati mbaya akafa haujamtimizia?

    Nikiwa kwenye mtihani wa taifa kidato cha pili, baba alisafiri kwenda kijijini ambako mama yake ambaye ni bibi yangu alikuwa anaumwa sana.Huyu bibi alikuwa ananipenda sana. Bahati mbaya wakati anaumwa sana na kuzidiwa alikua anahitaji anione kabla hajafa. Kama ujuavyo mabibi wanavyopenda...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wanakula nini mashuleni?

  14. B

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki na unafiki wa kuienzi lugha ya Kiswahili

    Kati ya official language na national language ipi inatakiwa itawale?
  15. B

    JamiiForums Tanzania Afrika Mashariki na unafiki wa kuienzi lugha ya Kiswahili

    Kwa muda mrefu kumekua na makelele mengi ya kuienzi lugha yetu adhimu ya Kiswahili hapa Afrika Mashariki. Bila shaka Tanzania inaongoza katika hizo harakati. Pamoja na makelele hayo, jitihada zinazofanyika ni ndogo kulinganisha na kile kinachopaswa kufanyika. Tuanzie Tanzania. Lugha yetu ya...
Back
Top Bottom